Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ndiyo soka,Napoli walikuwa wazuri sana uwanjani zaidi yetu
Tumefungwa pia bao dakika za mwisho sana
Hakukuwa na muda wa ku respond
Tunarudi nyumbani Anfield kwa mechi ya Jumapili
WE WILL BOUNCE BACK
 
Kuna Watu Wanaoangalia Mpira na Wanaotolea Macho TV...

Mtu anawasifu Napoli wameupiga Mwingi Lakini Anashindwa Kuangalia Je Wamefanya Mashambulizi gani??

Mpaka HT Napoli wamelenga On Target Moja tu!! Lakini Still anakuja Mtu anasifu wanaupiga Mwingi....

Hivi Mpira Ni Pasi na Chenga Nyingi??? Jamani Possession haina Points..

Wacha Wao Waupige Mwingi, Sisi Tunatafuta Magoli.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 endelea kusubiri embe kwenye mnazi jiandae na kipigo kingine kutoka kwa city mbinu zenu za kukimbia hovyo watu wamezijua unapigiwa moja moja
 
Na Tusiwe Wabishi Jamani Mapenzi Ya Timu Yasiwatie Watu Upofu! Ukweli Ni Kwamba Front 3 yetu imekwisha! Tunailazimisha tu na Kuipa Sifa isizosatahiki lakini ukweli Ni Kwamba Hawawezi Kuscore Hata Kwa Mademu Zao.

Hivi Washambuliaji gani Wanatoka na 0 on target Kwa Dakika 90 nzima.
 
Na Sab ya Stirridge haikupaswa Kufanyika dakika ya 87 kwani Ni Vigumu Kuleta Impact moja kwa moja.

Alipaswa Kuingia dakika ya 75 kuchukua Nafasi ya Mo Salah.
 
Ndiyo soka,Napoli walikuwa wazuri sana uwanjani zaidi yetu
Tumefungwa pia bao dakika za mwisho sana
Hakukuwa na muda wa ku respond
Tunarudi nyumbani Anfield kwa mechi ya Jumapili
WE WILL BOUNCE BACK
ulisema wamefungwa na sassuolo😂😂😂😂😂😂😂 nani hayaogopi majogooo ?nikutaadhalishe city ulimuangukia msimu uliopita this time haufungi team inayomiliki mpira unless key player wawe injury mf psg isiyo na verratti
 
Mimi nilivyoiangalia hii game almost kipindi cha pili chote sikuwa na shaka na haya matokeo, jamaa wamecheza kwa nia ya kutafuta ushindi.
Then kingine jamaa mbona Salah amekuwa mtu wa kupoteza mipira hivi ? Mpira ukiwa kwake hauna matumaini ya kubaki kwetu lazima watauchukua tu maadui .
 
Leo game ilitukataa na Napoli japo wamepata golibdakika za mwisho ila walistahili kushinda hata 3-0.

Kusema ukweli leo hatujacheza mpira kabisa na kidogo ubora wa beki na kipa umesaidia tukafungwa angalau moja. Ingekuwa beki ya Lovren na Matip tungefungwa hata 4-0.

Napoli wamestahili point 3 kwakuwa walizitafuta tokea mwanzo. Sisi tumestahili kufungwa kwakuwa leo hatukuweza kucheza na kutengeneza nafasi kama siku nyingine.

Natumaini mwalimu ameyaona mapungufu ya team leo na atajipanga mechi ijayo.

You'll Never Walk Alone.
 
Naona Kama FUTUHI inatusubiri.
Amna huko ndo hatuendi manake Napoli atamkalisha PSG lakini hawa Mane na Salah wajiangalie sana yani wamezembea kipindi ambacho sturidge na shaqiri wapo vizuri... Na hii mbinu ya kumvizia adui tumeshtukiwa sijui af nikifirikia weend tupo na Man City naona tuna kaanguko kidogo

Klopp abadilike yani kufungwa dk ya 90 ni maumivu mpaka so poa
 
Game tatu mfululizo looseful hawajashinda hata moja
Wasindikizaji kwenye haya mashindano ni liver
Hahaaa hata km n kuponda club sio kwa namna hii
Liver ana point tatu, unasemaje anasindikiza??
Wakat huohuo TOT hana point ila husemi kam anasindikiza
 
ulisema wamefungwa na sassuolo😂😂😂😂😂😂😂 nani hayaogopi majogooo ?nikutaadhalishe city ulimuangukia msimu uliopita this time haufungi team inayomiliki mpira unless key player wawe injury mf psg isiyo na verratti
Uchambuzi wa kitoto kabisa
Eti sababu huyu hayupo!
Napoli kashinda kwake,kuna ubaya gani?
Nani alikuwa majerhi SPURS alivyo pigwa?Au wao Spurs hawamiliki mpira?
Uchambuzi wa hovyo sana
 
Kuna Watu Wanaoangalia Mpira na Wanaotolea Macho TV...

Mtu anawasifu Napoli wameupiga Mwingi Lakini Anashindwa Kuangalia Je Wamefanya Mashambulizi gani??

Mpaka HT Napoli wamelenga On Target Moja tu!! Lakini Still anakuja Mtu anasifu wanaupiga Mwingi....

Hivi Mpira Ni Pasi na Chenga Nyingi??? Jamani Possession haina Points..

Wacha Wao Waupige Mwingi, Sisi Tunatafuta Magoli.

Mpira ni zote, pasi, possesion, kona, short on target, krosi nk
Liv shorts on target =0 for 90mins
Poleni sana
Tukutane Tar 7 Anfield na Man city
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom