OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Kwa iyo mkuu Salah, Mane na Firmino wasipo pafom furesh kama unavyotaka wewe, timu haiwezi kushinda?mkuu level ya liverpool pale mbele bado hawajachanganya ipasavyo wanacheza chini ya kiwango na hilo wewe umeliona japo utabisha..
ishu sio first eleven mbali ni ile perfomance ya mchezaji mmoja...Salah kwa mfano ule moto wa msimu uliopita bado hajauwasha nwa bado mapema ndio kwanza mechi zinaanza kuchanganya...
Sasa wasipokuwepo kabisa itakuwaje?


rld wide supporters