Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yaani huyu Klopp anatuzuga Chelsea ili tuwasahau akina Firmino na Mane kwa kuleta mambo ya formula one
Forget it
 
Kocha wako analialia namna ya kuwazuia Kante, Jorginho, Covacec, Willian na Hazard anadai wanakimbia km magari ya Formula One...

Kocha wako analia kua wakicheza mpira yaani wakiwa Open wanasababisha matatizo ktk team yao

Alafu wewe diwani wa Kisiju unasema unaifunga Chelsea
dadeki sio kwamba kloop anatuset
 
Hahaaa.. Kisiju
 
Kwa hiyo Luiz na Cahil ndiyo watawazuia akina Salah wanatafuta ushindi?
Ww kesho unapigwa mapema tu,hauna beki !
Huwezi ukawa unategemea forwards tu kushinda
 
Kama akina Zabaleta akina Masuaku walimdhibiti ndiyo atashindwa Liverpool?
 
dadeki sio kwamba kloop anatuset
Klopp anajua shughuli ilivyo nzito hasa. Hapo hatanii kabisa.

Willian, Hazard, Kante hawa watu wanakimbia vibaya sn. Alafu Covacic na Jorginho hawa wanamiliki mpira vibaya sn na mmoja hapo anatoa pass ni balaa.
 
Kwa hiyo Luiz na Cahil ndiyo watawazuia akina Salah wanatafuta ushindi?
Ww kesho unapigwa mapema tu,hauna beki !
Huwezi ukawa unategemea forwards tu kushinda
Chelsea inakabia juu ktk goli lenu huko huko. Sasa mpk mpira ufike Kwa Salah awasumbue kina Luiz ipo kz
 
Adam Lewis.

SIKU ZA MORENO KUWEPO ANFIELD ZAANZA HESABIKA SASA.

>>Gerrard aliwahi Mtabiria HARAKA mafanikio yake..

>>Kinda Adam Lewis ajumuishwa Kikosi cha Kwanza.

>>Kufuatia kupoteza ktk mchezo wa EFL au Carabao dhidi ya Chelsea.

Mwanazuoni.

Kinda ADAM LEWIS ameitwa ktk Kikosi cha Kwanza cha Liverpool na kujumuika nao kufanya Mazoezi Mara tu baada ya Mchezo wa EFL au Carabao Cup ambao sie LIVERPOOL tulipoteza kwa goli 1-2.

Steven Gerrard Kepteni huyu wa Zamani wa LFC na ambae ndie aliekua Kocha wake ktk Kikosi cha Vijana wa Miaka 18 Alishampendekeza Kijana huyu acheze kwenye Kikosi cha Vijana wa Miaka 23 kwa kua ktk Kikosi Chake cha Vijana wa Miaka 18 ni kimpotezea sana muda kwa uwezo Mkubwa alionao,Gerrard alinukuliwa akisema siku za nyuma kua hatakuja shangaa akiona Kijana huyu anacheza first team,Kikosi cha Kwanza,inawezekana sasa maneno yale yakatimia muda huu.

Adam Lewis ni Versatile Player,akiwa na Kipaji kikubwa sana cha kucheza kama beki wa kushoto na upande wa Kiungo cha chini,anatajwa kua na uwezo Mkubwa na nguvu bila kusahau skills na pia ni Mkabaji na Mpambanaji.

Moreno alicheza mchezo huo na kutoonyesha MABADILIKO yyte kwenye mchezo hua na kupelekea kulaumiwa pia kwa kutokua makini na kushindwa mzuia Hazard ambae alienda funga goli la Ushindi la dakika za Mwishoni Mwishoni.

Kufuatia kujumuishwa ktkbKikosi cha Kwanza kwa Kinda Adam Lewis anaecheza nafasi moja na Moreno kunaashiria sasa kwamba "Siku za Maisha ya Moreno kuwepo ANFIELD zimeanza kuhesabika"

Haya ndio yanayoendelea kujiri huko kwenye Mazoezi ya Klabu pendwa yetu kunako Viunga Vya Melwood.
@binslim3

#ynwaadamlewis
#WeAreLiverpool.
IMG-20180928-WA0002.jpg
 
kesho ushindi tena wa goli 3 na points 3!...hakuna cha hazard wala mavi gani cjui , tunavunjia daraja hapo hapo kwao.
3points,tommorow
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom