Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naomba mwenye video ya shoot alilopiga sturridge kama lile la jana kwenye carrabao cup likagonga mwamba.
Utazani aliagizwa na mganga yani vina fanana tofauti la carabao liligonga mwamba.

Nakumbuka Mesi mechi ya kwanza anapangwa alipokea pasi kwa gaucho akafunga kwa kuchop ikawa offside dakika chache baadae mazingila yaleyale akafunga nilistaajab sana
 
Hivi hazard unamchukuliaje mkuu,hawezekani klopp apange kikosi kisicho zui wachezaji wanao casuse more problems, hazard huwa anazunguka uwanja mzimaeti

Sorry! Nimeshaachana na Kuzungumzia Game ya Jana.. Sasahivi Nafocus Kwa Next game vs Man City.
 
mi sio mchambuzi sana wa kikosi ila nikahisi leo Milner hakuwa katika form bora kwamba mpira umemkataa, lakini nilikuwa namuona uwanjani ila huyo Handerson sikuwa namuona uwanjani akifight kabisa na nikawa napaona kati pamepwaya, kumbe ishu haikuwa kwa Milner bali huyo jamaa aliyotufanya mechi ionekane ngumu wakati PSG aliweza kusimamishwa kwa ustadi mzuri kabisa ambayo PSG huwezi kuifananisha na takataka hiyo ya chelshit...!!!

Mkuu PSG imebeba Jina Kwenye Ushambuliaji tu Coz wapo Neymar, Cavani, Mbappe na Di Maria.

Lakini Kwenye Kiungo Ni Wepesi Sana Kina Rabiot na Ndiyomana Hendo Alikuwa anatamba.

Tofauti na Chelsea Kwenye Kiungo ilikuwa imara Kiasi Ya Kwamba Hendo aliishia Kuwa Mzururaji tu.
 
Kuna yule mtu atakwambia kocha anajua zaidi

Wenzetu huko hawamtaki Mou

Ni Kweli Kocha Anajua Zaidi Kuliko sisi..
Lakini Wakati Mwengene Makocha Wanasababu Tofauti Ya Kuwapanga Wachezaji.

1) Mapenzi binafsi
2) Pressure kutoka Kwa Wadau
3) Kukosea Kupanga Kikosi

Sasa Kuhusu Henderson Mimi Naamini Anampaka Kutokana na Pressure anayoipata Kutoka Kwa Wadau Wa Kiingereza na Top Reds.
 
Mk
Mkuu Eden Kimario ........... Nasubiri post yako ya mechi ya jana ......... Chelsea walipiga pass mia ngapi ????? ......... Jorginho pia akuweka record nyingine ya pass kweli.

Joginho Jana Alikumbana na Mziki Wa Gini na Milner alizurura tu Uwanjani Kama Mchezaji Wa Ndondo..

Tokea Jana Nazunguka Kwenye Uzi Wa Chelsea Kuvizia Zile Stats Zake Wanazoziweka Kila Mchezo za Pasi 180 naona Wamezitokomeza Porini.
 
unataka kuniambia pressure kutoka nje inaweza kumpangia kocha cha kufanya mkuu?
 
Joginho Jana Alikumbana na Mziki Wa Gini na Milner alizurura tu Uwanjani Kama Mchezaji Wa Ndondo..

Tokea Jana Nazunguka Kwenye Uzi Wa Chelsea Kuvizia Zile Stats Zake Wanazoziweka Kila Mchezo za Pasi 180 naona Wamezitokomeza Porini.
hahahahaha
 
Hahahahahahahahahahahahahahahaha
 
Mkuu PSG imebeba Jina Kwenye Ushambuliaji tu Coz wapo Neymar, Cavani, Mbappe na Di Maria.

Lakini Kwenye Kiungo Ni Wepesi Sana Kina Rabiot na Ndiyomana Hendo Alikuwa anatamba.

Tofauti na Chelsea Kwenye Kiungo ilikuwa imara Kiasi Ya Kwamba Hendo aliishia Kuwa Mzururaji tu.
Anazurula na nakunyoosha mikono wezie anacho nishangaza mido gani inajificha badala ya kufungua na kutawanya mipira?
 
Ni Kweli Kocha Anajua Zaidi Kuliko sisi..
Lakini Wakati Mwengene Makocha Wanasababu Tofauti Ya Kuwapanga Wachezaji.

1) Mapenzi binafsi
2) Pressure kutoka Kwa Wadau
3) Kukosea Kupanga Kikosi

Sasa Kuhusu Henderson Mimi Naamini Anampaka Kutokana na Pressure anayoipata Kutoka Kwa Wadau Wa Kiingereza na Top Reds.
Anamharibia sana team anavumilia tu Keita alisha anza kujiamini kwenye ile nafasi kumueka bench ni kama kumvuruga kiakili.

Uzaifu wa kibina dam Kloop anashindwa kufanya sub
 
Joginho Jana Alikumbana na Mziki Wa Gini na Milner alizurura tu Uwanjani Kama Mchezaji Wa Ndondo..

Tokea Jana Nazunguka Kwenye Uzi Wa Chelsea Kuvizia Zile Stats Zake Wanazoziweka Kila Mchezo za Pasi 180 naona Wamezitokomeza Porini.
Gini jana nazani ndo alieng`ara nimependa sana anavyo zibit mpira

Fabinho juzi nimeona anapasi za kustukiza kuwalenga ma fowadi kwa mbio za Sala atakua na faida sana
 
Mk
Mkuu Eden Kimario ........... Nasubiri post yako ya mechi ya jana ......... Chelsea walipiga pass mia ngapi ????? ......... Jorginho pia akuweka record nyingine ya pass kweli.
Nilikuambia Ukitaka kupata sare darajani umiliki mpira na ukafanya hivyo Hongera pia kwa hilo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom