Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
vipo viashilia kwamba bila Hazard akiwa kwenye kiwango cha juu ushindi kwenu hua hafifu vile vile hao washambuliaji uliowasema ndio chagua la kwanza la kocha kwa sasa na kazi yao kuu ni kuleta magoli na kunyakua poiniti 3 sasa wasipo perfom kwa kutumia vyema nafasi wanazopata za kufunga magoli unadhani ushindi unapatikana aje...Kwa iyo mkuu Salah, Mane na Firmino wasipo pafom furesh kama unavyotaka wewe, timu haiwezi kushinda?
Sasa wasipokuwepo kabisa itakuwaje?
bila Salah uwanjani tumempiga PSG na kutoa draw Chelsink hivyo ushindi hauwategemei wao muda wote unavyosema...
