Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Back to Klopp mind set na attitude ya Leo, from line up tu Klopp hakutaka point 3 Leo ,naona kabisa Klopp anataka EPL ila anajua EPL sio two horses pace kama kule German na ameua kupiga hesabu zake vizuri this season, uhitaji kushinda VS all big 4 teams ili upate EPL.Kama kuna kocha wa kuipa Liverpool EPL ni Klopp.GO KLOPP... maana Mimi ni mmoja wa wale wengi ambao hawajabahatika kuiona Liverpool ikichukua EPL, hata kama sio msimu huu ila nina uhakika kwa kikosi kilichopo cha Liverpool hawewezi kumaliza misimu 2 mfululizo from now bila kuchukua EPL.. In Klopp you should all TRUST
 
Hii game baada ya kuona Henderson kaanza nilijua tutapigwa tu.

Ni muda sasa kikosi kibadilike, Keita arudi kuwa starter.

To be Honest Nimekuja Kumuona Henderson Kwa Kufanyiwa Sub tu! Lakini Dakika Zote 70 alizokuemo nilikuwa Sijui Kama Yumo uwanjani mpaka Nikadhani Klopp Kachezesha Viungo Wawili tu Gini na Milner.

Kiukweli Hendo Hatufai hata Kidogo.
 
Hongereni, nilikuwa nina wa underrate sana.

Ila mmeonesha ukomavu, top 4 ni yenu kupoteza.

Liverpool were on so much pressure today, otherwise we could have scored like 3 good goals.
Hmm.. Liverpool fan trying underestimate Chelsea fans by using soft words.

Huwezi ukasema una underrate timu ambayo haijapoteza katika mechi zake 6. Inashika nafasi ya tatu, ina mshambuliaji hatari zaidi kwa sasa. Huwezi kuunderrate hiyo timu. Eti mmeonyesha ukomavu

Yan utafikiri ndiyo tumepanda daraja msimu huu kwa hayo maneno yako.
 
Mnapaswa mkubali kwamba mngepoteza gemu zote mbili. Maana mlileta dharau na mameno mingi hasa baada ya Ku draw na WH. Mkaona Chelsea itakuwa kitonga...

#TutaheshimianaTu.
Ok tumekubali, lakin hatujapoteza game zote 2,
and Sarriball haijafanikiwa leo
 
Bonge la Mechiii! Bongee La Mechii
yep.... ilikuwa mechi nzuri sana. hata tungeshindwa ningesema hivi hivi.
nikiri tu kuwa Chelsea wapo vizuri - si timu ya kubeza hata kidogo.

that's why kwangu mimi no complaints kuhusu results. tumetoa draw nyumbani kwa timu ambayo 75% ya kikosi wamebeba EPL 2 ndani ya miaka 4 iliyopita.

but ile frontline yetu Klopp anahitajika kuipiga msasa wa chuma chakavu. ukimuondoa Bobby ambaye hayupo vibaya sana, Mane & Mo are playing like a bunch of strangers to each another.

bring on the Naples on Wednesday!!
 
Hmm.. Liverpool fan trying underestimate Chelsea fans by using soft words.

Huwezi ukasema una underrate timu ambayo haijapoteza katika mechi zake 6. Inashika nafasi ya tatu, ina mshambuliaji hatari zaidi kwa sasa. Huwezi kuunderrate hiyo timu. Eti mmeonyesha ukomavu

Yan utafikiri ndiyo tumepanda daraja msimu huu kwa hayo maneno yako.

Kweli mkuu, yaani kwa ubora wa kikosi cha Liverpool, nilijua mechi itakuwa rahisi sana, siwezi kulalamika sana ila kutokuwepo Keita kumeharibu mnyubuliko kwa kiasi kikubwa katikati.

All in all, mnastahili kuwa hapo mlipo.
 
Hehee.. Cant imagine Pedro angekuwepo ingekuwaje.. Huyo Fab sasa looh. Yan nyie uwezo wenu ndiyo uliishia pale wakati huo mi nina backup ya kutosha. Nimeshika ukashikika wewe.
 
yep.... ilikuwa mechi nzuri sana. hata tungeshindwa ningesema hivi hivi.
nikiri tu kuwa Chelsea wapo vizuri - si timu ya kubeza hata kidogo.

that's why kwangu mimi no complaints kuhusu results. tumetoa draw nyumbani kwa timu ambayo 75% ya kikosi wamebeba EPL 2 ndani ya miaka 4 iliyopita.

but ile frontline yetu Klopp anahitajika kuipiga msasa wa chuma chakavu. ukimuondoa Bobby ambaye hayupo vibaya sana, Mane & Mo are playing like a bunch of strangers to each another.

bring on the Naples on Wednesday!!

Brother Sasahivi Tumeshacheza Seven Games EPL and One game UCL lakini Mpaka sasa No sing of change at all katika Forward Line Yetu (Muexclude Firmino)... Nahisi Huu Ni Wakati Sasa Wa Klopp Kutafuta New Face katika attacking Kutoa Challenge.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom