AmarokB
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 893
- 753
SawaMkuu umejibiwa hapa.![]()
Me niwe muumin wa dakika 90
SawaMkuu umejibiwa hapa.![]()
Hii ndio muhimu zaidiSawa
Me niwe muumin wa dakika 90
Njia pekee si kumzuia Hazard hapo mtashindwa. Njia ni nyie kumiliki mpira zaidi yetu basi. Mpira unatoka kwa mabeki unakuja kwa midfield wanakufanyia undava then ndio unakuja kwa wings na foward ambapo kama umeshausoma mchezo vizuri hawa washambuliaji wanamiliki mpira kwa asilimia chache sana ukilinganisha na mabeki na midfield. Sasa useme ukomae na Hazard peke ake unampa mwanya Pedro na kina Giroud kukufanya vibaya.
Miliki mpira zaidi yangu. Au ufanye counterattacks za kutosha hapo unaweza kunidhibiti.
Muda huo mnaangaika na hazard...kina wily, Alonso, Barkley watakuwa wamesimama na relax.
Ni mara chache sana inatokea unamiliki mpira halafu ushindwe kupata matokeo mazuri. Chelsea tatizo letu lipo kwenye attacks hatuna real namba 9 wa kuforce magoli kama kina Cavani, Lewa, Costa au Kane. Hapa ndipo penye changamoto katika mfumo wa Sarri.Kwanza Kabisa Ninazungumza Kwa Maandishi Mekundu Kuwa Ni Game Plan Ya Klopp Bali Maoni Yangu Binafsi tu Musijesema "Mbona Klopp Hakumzuia Hazard"
Then, Muelewe Kuwa Kama Kumzuia Hazard Basis Hatozuiwa Na Wachezaji Wetu wrote 11, Kwahiyo Kuleta Hoja Za Kuwa Wengine Sijui Wapo Watapata Nafasi Hapo Ni Kujidanganya.
Jengine Kusema ili Uifunge Ni Chelsea Unahitaji Umiliki Possession huo Ni Uongo. Possession Ya Chelsea haina Madhara yoyote Muhimu Ni Kublock Mashambulizi Kucut attacks tu.
Barca Kapigwa na Possession Yake ya kumiliki mpira
VVD hakuna uhakika Kama atakua fit kesho Kama atakua hajapona pengo lake litazibwa na matip au lovren. Source klopp press conference
Kocha wako analialia namna ya kuwazuia Kante, Jorginho, Covacec, Willian na Hazard anadai wanakimbia km magari ya Formula One...LIVERPOOL hatupotezi mchezo wa kesho!
Liverpool hii haiwezi fungwa na Chelsea yenye beki wa kati Luiz na Cahil
Never ever!!
Chukueni maneno haya myahifadhi baada ya dakika 90 mnisimange!





Ha ha ha ha ha... Niambie Mzee Baba wa darajaniNjia pekee si kumzuia Hazard hapo mtashindwa. Njia ni nyie kumiliki mpira zaidi yetu basi. Mpira unatoka kwa mabeki unakuja kwa midfield wanakufanyia undava then ndio unakuja kwa wings na foward ambapo kama umeshausoma mchezo vizuri hawa washambuliaji wanamiliki mpira kwa asilimia chache sana ukilinganisha na mabeki na midfield. Sasa useme ukomae na Hazard peke ake unampa mwanya Pedro na kina Giroud kukufanya vibaya.
Miliki mpira zaidi yangu. Au ufanye counterattacks za kutosha hapo unaweza kunidhibiti.
Ha ha ha ha hii #Malafyale haipendi hiiKlopp on Jorginho: "Very important. How do we defend these two? Then Willian is there, then Kovacic is running like a Formula 1 car, and don't forget Kante! They're all important, so let's try to be at 100 per cent. When WE play football we cause teams problems." #LFC