Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dean05. Kitu unachotakiwa kutwmbua kwenye mpira ni kwamba mpira ubadilika kila sekunde kila dakika. Kipindi Cha kwanza Chelsea wamecheza vizuri wakapata goli la kuongoza. Kipindi Cha pili liver wamecheza vizuri atimaye wamesawazisha. So kwangu Mimi husiseme sariball haijafanikiwa....ndani ya dakika tisini 90 uwanjani huwa Kuna kushinda ama kudrow ama kuloose pia.

Sisi Chelsea fans ndiyo tungesema mmeshindwa kufunga Kama mlivyokuwa mnasema Leo ni Leo mnaenda kushinda zaidi ya magoli 3....lakini mmeona kilichotokea.

Kwangu Mimi nachukulia Kama
Chelsea vs Liverpool ni 50 50 hakuna mbabe. Tusubiri next game.
50-50 kivipi mpira ulikuwa unaangalia au umesimuliwa? kaangalie match statistics liverpool kamzidi chelsea karibu kila kitu,basi tu mpira na bahati ina play part liver leo hakuwa na bahati kivile
 
hawa chelsea hawana mpira wowote ni kukimbia kimbia tu ovyo na hazard wao, strikers zetu zingekua makini tungetoka na points 3 zote.

tuliwazidi kila idara umaliziaji ndio ulikua tatizo. ila gini na milner wanapiga mpira mkubwa sana
 
Si ndio mkuu hawa leo wamepata ka haueni kidogo.

Sasa tutaheshimiana, maana walisema kwa hii Sarriball wangetupiga tano.

Two games walichoambulia ni point moja tu ..tena ya tundu la sindano..
mkuu kwani nyie si mlisema hatuchomoki hata na draw sasa mmechemka na Hazad akiwa fire bado tu mnaona sisis ndio tumebahatika...
Mabeki cheksink na kipa wa liva kwa leo ndio wameamua mechi...
kama umeshindwa kutufunga tukiwa below our level basi ipo shinda aisee..
 
hawa chelsea hawana mpira wowote ni kukimbia kimbia tu ovyo na hazard wao, strikers zetu zingekua makini tungetoka na points 3 zote.

tuliwazidi kila idara umaliziaji ndio ulikua tatizo. ila gini na milner wanapiga mpira mkubwa sana
Top scorer wenu Mo Michu hakucheza Leo?
 
50-50 kivipi mpira ulikuwa unaangalia au umesimuliwa? kaangalie match statistics liverpool kamzidi chelsea karibu kila kitu,basi tu mpira na bahati ina play part liver leo hakuwa na bahati kivile
Au kwa lugha nyingine unaweza kusema Mo Michu hakuwa na bahati kama msimu uliopita
 
wazee wa sarriball wamepata droo kwao wamefurahi, maana wameona mpira tuliopiga sio mchezo,walikua wanaomba gemu iishe vile vile, na tulivowakimbiza leo mtashangaa gemu ijayo wakafungwa au wakatoa droo, washachoka wanakimbia kimbia tu ovyo uwanjani.

saiv wamerudi jukwaa lao wametulia sasa! ....

saiv wanamuita salah, eti mo michu! ...ha ha haa
 
Mambo machache yaliyotugharimu tukose kuondoka na pwenti tatu from Stamford Bridge;
Mosi, hatukuwa clinical leo au labda tuseme bahati haikuwa upande wetu.
Pili, Kitendo cha kuanza na Henderson badala ya Keita pale dimba la kati kimetugharimu sana.
Tatu, kuchelewa kufanya substitution, especially kwa Sturridge na Keita.
Nne, pengo la mtu wa kupiga mashuti ya mbali nje ya 18 kama alivyokuwaga anafanya Coutinho au hata Gerrard.
Positives:
Msimu huu tuna depth kwenye substitution ambayo inaweza kuingia na kubadilisha matokeo.
Maoni:
It's high time Fabinho aanze kutumika ili Milner awe anapumzika kidogo kutunza nguvu kwenye gemu tight, age ya Milner haifai kumchezesha mechi zote kwa dakika zote 90. Just my opinion.
Conclusion:
Nimefurahia kutochafua streak yetu kwenye msimu so far.
YNWA!
 
Tofauti kubwa ya liv na Chelsea ni wamba Chelsea wakitangulia kufungwa husawazishaa kushinda
Liv wao husawazisha na kuingia mtaani kusheherekea
 
Daniel Sturidge underrated, magoli yake machache lakini so clinical tangu akicheza na Suarez 2012
 
Daniel Sturidge underrated, magoli yake machache lakini so clinical tangu akicheza na Suarez 2012

Ni striker wa kawaida but we have to applaud him for what he did yesterday. Kilichotucost jana ni kwamba Forward zetu jana zimeharibu sana nafasi za magoli zilizotengenezwa kiasi kwamba nao wamekuwa kama yeye tu; mfano Salah kwa kipindi hiki jinsi anavyowaste chances almost equal ya huyo Sturridge, Mane nae sikuona alichokifanya labda labda Firmino ambae hajaharibu chjances lakini ametucost sababu ya uzito wake kukimbia
 
Kabisa mkuu.
Yaani jana gemu ile tungekuwa makini kwenye umaliziaji, basi tulikuwa tunaizika since first half!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom