Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mimi Hii Ndiyo Kawaida Yangu Huwa Ninapofungwa Sina excuse Bali Nina accept kwa kilichotokea Uwanjani.

• Huwa kama Kuna tatizo la Kiuwamuzi (Bad referee decision) Basi siachi Kuelezea tatizo hilo... Lakini Kwa Jana sijaliona Tatizo hilo.
Jana reaction ya klopp kwa Shaqir sikuipenda,maana huwezi onesha hisia mbele ya public alitakiwa afanye yale akiwa ndani

Nakumbuka alifanya kwa Benteke pale mlipofungwa na Soton..Mane alivyofabya come Back 3:2 ,klopp alimwakia uwanjani Benteke mbele ya camera

Hili unalionaje,kocha wenu pamoja na uzuri wake hana mshipa wa uvumilivi
 
Mi mtu akisema liverpool anashinda ubingwa huwa namuangalia sana kama yupo timamu kocha mwaka wa nne hata carabao hawezi kupigania kocha wa chelsea kaja juzi tu anakufumua liverpool mnajivunia mpira wa spidi basi makombe hapa msahau

Jamani Musiwe Munapost tu Bali Jifunzeni Mpira.
Matokeo na Mechi Ya Jana Has nothing to do Kwenye Premiere League.

Tambua Kuwa Jana Chelsea ndiye aliyeamua Ushiriki Wa Liverpool Kwenye Mickey Mouse Cup, Lakini Kwenye EPL Chelsea siye atakaeamua hatma ya Liverpool.
 
Moreno is always shit!! defensively..
Labda offensively kidogo he’s good

Yes, We lost the game no excuse..Congrats kwa chelsea na fans wake🙌🏻

But on saturday we gon’ sort it in our way
 
Jana reaction ya klopp kwa Shaqir sikuipenda,maana huwezi onesha hisia mbele ya public alitakiwa afanye yale akiwa ndani

Nakumbuka alifanya kwa Benteke pale mlipofungwa na Soton..Mane alivyofabya come Back 3:2 ,klopp alimwakia uwanjani Benteke mbele ya camera

Hili unalionaje,kocha wenu pamoja na uzuri wake hana mshipa wa uvumilivi

• Pale Klopp Huwezi Kumlaumu Kwa Lile Kwasababu Kama Kocha Kila Mmoja Anareact Kwa Style Yake.. Sasa Klopp Ukimuangalia Anaposimama Uwanjani Kama Kocha Basi Ndani Ya Dakika 90 zote anakuwa Ana hasira sana Mchezaji anapofanya Kurudia Makosa ambayo Kila Siku anawarekebisha.

Lakini Baadae Hasira Huondoka Na Kuwapongeza Hao Wachezaji anaowafokea na Kuwa Marafiki.
Na Hiyo Ni Kawaida Kwa Makocha Wengi.

Angelikuwa anafanya Kama Mourinho Kuwatupia Wachezaji Lawama Mbele ya Media (Press Conference) Basi hapo Ndiyo ningemlaumu Kwasababu sio sifa ya Mwalimu.

Lakini Klopp Kwenye Media (Conference) hupenda Kuwasifia na Kuwapongeza Wachezaji Hata Kama Walifanya Makosa ya Wazi Kwenye Mchezo.
 
Kuna mshabiki wa liverpool nilimwambia hata game ya spurs walishinda kwa bahati tu vile michenga ya dembele ikawapa ushindi lakin wakikutana na timu ipo makini ana hali mbaya sana hawa

Na PSG pia tulishinda Kwa Bahati.

Jamani Hawa Wacheza Rede sijui Wameambiwa na Nani Kuwa Kuna Kitu Kinaitwa Mpira Wa Miguu.

Sasa Spurs Tuliyemzidi Kwa Kila Kitu Hiyo Bahati imetokea wapi?

Mtu aliyekupiga 3 kwa Mtungi Getoni Kwako unasema Kafungwa Kibahati?
 
that Sturridge miss!

that Mignolet error for the first goal!

...what might have been.

anyways, Saturday someone is going to seriously suffer!
Watu hawamzungumzii kabsaa sturridge sijui kwa nini mtu akifunga tu haonekani makosa yake?
Mimi huyu jamaa simpendi anazoofisha sana team akiwa nje ya 18 ushiriki wake ni mdogo sanaaa yani huyu anafaa ule mfumo wa kusimamisha mbele mmoja tu lakini kwa ile 4 3 3 huyu anaua wenzake mtu mwingine ni Hendason naamini Milner angebaki tusingefungwa goli zaidi ya 1 na huenda tungepata mengine kutokana na jitahada zake

Hao kina morno mnawaonea tu hupangwa vipindi vigumu na kukosea mpiran hutokea.
 
Kabla Ya Kuanza Msimu Nilikuwa na Mashaka Sana Na Depth ya Timu Yetu Kwa Upande Wa Kikosi B lakini Nilijaribu Kujiconvince nijiaminishe Kuwa Tuna Kikosi Kizuri Cha Hakiba..

But Jana Nimeconfirm Kuwa Kikosi Tulichonacho Ni Kimoja tu Cha First XI, Kwa Kikosi B nilichokiona Jana Ni Sturridge na Xhaqiri tu Walioonesha Uhai Kuwa Ni Wachezaji Wa Akiba na Kuongeza Depth.
Clyne pia akipata Game time ya Kutosha Ni Depth Nzuri tu.

Moreno Hata Kuwa Mshabiki Wa Liverpool Hafai. Ni Miongoni Mwa Wachezaji Ambao Wanaidhalilisha Jezi Ya Liverpool.
Kwani Jana Mwanzo Mwisho Chelsea Walishambulia Upande Wake Baada Ya Sarri Kugundua Kuwa Weakness Ya Liverpool Ni Upande Wa Kushoto Kwa Moreno.
Na Ndiyomana Hazard Alipoona Upande Wa Kulia Wa Liverpool Kidogo Kumekaza basi Fasta Akashift Upande Wetu Wa Kushoto Na Kwenda Kumpinduapindua Moreno na Kufunga goli.

Hata Hivyo Mickey Mouse Cup nimekuwa Nikiidharau Siku Zote ingawa hili has nothing to do kwa Kufungwa Kwetu.
Hiki usemacho kuhusu upande wa kushoto angekwepo Milner kwa uzoefu wake na yeyw angehamia upandehuo kutoa msaada Henderson alitakiwa afanye hii kazi team ni kusaidiana.

Hata mechi ya southpton kushoto kulikua na upungufu robo akawa hana msaada tatizo lilionekana likatatuliwa
 
Kwa nini mnamuonea Moreno?????

Mpaka Hazard anamfikia Moreno ni wachezaji wangapi alikuwa amewapita?

Mbona hamumsemi Firmino aliyepigwa tobo na badala ya kuendelea kukaba akabaki hivyo hivyo????

Kwamba angekuwa Robertson angefanya nini kama cover yake imepitwa? Anzeni kumsema firmino kabla ya Moreno. Heri hata Keita aliendelea kukaba mpaka shuti la mwisho.
Ajabu hata Sturridge haonekani makosa yake kisa lile goli jamaa mbovu sana nje ya 18 Henderson team ikizidiwa hana msaada wowote zaidi ya kunyoosha vidole tu
 
THIS IS CHELSEA
What a pride, what a feeling being a #Chelsea fan.
Liverpool had not lost a match at Anfield since January 2018 and other short stories.

Good morning haters( Chelsea fans in denial)
My whole heartily congratulation for winning a tittle goes by a name, " Defeating Liverpool at Anfield in 2018"
 
that Sturridge miss!

that Mignolet error for the first goal!

...what might have been.

anyways, Saturday someone is going to seriously suffer!
tapatalk_1534526610471.jpeg
 
Past is Like Memory! Tusiwe Watumwa Wa Last Night, Tufocus Next game like Nothing happened Last Night... We Need More Concentration Kwenye Preparation ya Next Game Coz Wao Wamekuwa Overconfident Kwa Result ya Jana Wakiamini Kuwa Wamemaliza kazi Hata Kwa Next Game Jambo Ambalo Kwa Anaejua Mpira Basi Anaona Wazi Kuwa Hakuna Relation yoyote Between Last and Next game.

Let us suprise them pale Darajani Coz Nothing New Kwasisi Kushinda Pale.
 
Mkubali matokeo siyo sababu nyingi Mara ni kikosi cha pili (mane, firmino, keita, salah, milner, Henderson) wamehusika!!! Mara VVD hakuanza utadhan Chelsea wamechezesha back 4 yote???
 
Past is Like Memory! Tusiwe Watumwa Wa Last Night, Tufocus Next game like Nothing happened Last Night... We Need More Concentration Kwenye Preparation ya Next Game Coz Wao Wamekuwa Overconfident Kwa Result ya Jana Wakiamini Kuwa Wamemaliza kazi Hata Kwa Next Game Jambo Ambalo Kwa Anaejua Mpira Basi Anaona Wazi Kuwa Hakuna Relation yoyote Between Last and Next game.

Let us suprise them pale Darajani Coz Nothing New Kwasisi Kushinda Pale.
Nothing New Kwasisi Kushinda Pale. Past is like memory. Mbona unajipinga mwenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom