Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ningekuwa mm makombe kama haya najaza under 21 na under 23
Makombe gani haya bana?Target iwe EPL na CL tu
 
Kama kwa midfield ambayo Naby na Fabinho wapo halafu halijapigwa hata goli moja mpaka sasa hizi, basi kazi ipo
 
Yani Game ya Leo imeprove Zahiri Shahiri Kuwa Miaka Miaka Yote iliyopita Ni Defence ndiyo iliyokuwa ikituangusha...
Yani Kukosa VVD na Gomez basi Mpaka Morata Anapiga Chenga!!!!!
nimetembelea jukwaa la chelshit naona wanapongezana kuwa wametukamata vilivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom