konge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 6,622
- 41,331
Liverpool 2
Tottenham 0
Firmino
Vipi kabahatisha?
Liverpool 2
Tottenham 0
Firmino
Kesho Kama kawa......Tottenham atawafundisha adabu
Huenda leo ikawa ni sare au kipigo
Leo sioni mkipata ushindi
Anaebisha na abishe
Hongereni wana Liverpool
Kamnyima pasi ngapi?Kama mmeona jicho la tatu Mane mgumu kutoa pass kwa Salaah
hiyo inaitwa champion-elect display!Ile GENGENPRESSING bora Klopp alivyoiacha ilikuwa inatuumizia Wachezaji wetu sana na Kufanya Wachezaji ikifika December wanakuwa Wamechoka.
Lakini Sasa Tunacheza Slow huku tukipoza move za opponent wetu.
Yumo Kane au naye ni takatakaHuyu Pochetino nae takataka kabisaUnamuachaje Son nje mechi kubwa hii.
Ila gari moshi bado halijawaka vizuri!Jamani tupo vyema sana
Liverpool tumekwiva
Huenda leo ikawa ni sare au kipigo
Leo sioni mkipata ushindi
Anaebisha na abishe
Graph ya Liverpool inazidi kushuka. Kutoka kushinda nne bila ..mpka 2-1 ...zile nne mzilopigwa mwaka jana zinaweza kurudi tena.
Nimechunguza ni kweliKama mmeona jicho la tatu Mane mgumu kutoa pass kwa Salaah