Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Game ni ngumu, ukuta ni mzuri sana, ila mbele Mane, Firmino na Salah Chemistry inazingua.

Keita ni kisiki kama kawaida, Gini naona anaendelea kukaza.

We are Liverpool.

YWNA.

Mpaka Sasahivi Sijaona Tishio lolote Kutoka Kwa Spurs Kwani Kane Wao Wanaemtegemea Dogo Gomez anakula nae Kimyakimya...

Kasoro Niliyoiona Ni Kuwa Game Plan Ya Poch Ni Kutaka Kuforce Move upande Wa Robertson kutokana Na Kuusoma Mchezo Wa Robertson Kuwa Hupanda Zaidi Kushambulia.. Kwahiyo Robbo anapopanda Wao Hupiga Mipira ya Haraka Upande aliouwacha Wazi! Lakini Keita Na Defence yetu wako Macho na hilo.
 
Goli la kubahatisha
Screenshot_20180915-152730.jpg
 
Klopp anataka makombe tu hataki utoto msimu huu.
that first half was maturity performance from us.

Ile GENGENPRESSING bora Klopp alivyoiacha ilikuwa inatuumizia Wachezaji wetu sana na Kufanya Wachezaji ikifika December wanakuwa Wamechoka.

Lakini Sasa Tunacheza Slow huku tukipoza move za opponent wetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom