Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
ni ushindi ndugu, pointi tatu safii kabisa
Sijui nyinyi wana Liverpool game yenu ya leo mnaichukuliaje
Sijui nyinyi wana Liverpool game yenu ya leo mnaichukuliaje
dakika 90+ utasema mengine ndugu...Uzuri wa Tottenham beki wanayo leo huenda Liverpool mkachomesha mahindi tu
Sio salah mane au firmino wakifurukuta leo
Hakika sipingani na wewe kamwe kwenye hiliSalah ameisha kabisa...sasa hivi tegemeo ni Mane peke yake.
Liver anaongoza moja dakika ya 44 mfungaji wijndlumMatokeo ngapi ngapi wakuu
Mfungaji kaleta uchoyo ingekuwa goli mbili saizLiver anaongoza moja dakika ya 44 mfungaji wijndlum
Nadhani ilikuwa mbinu za kuwafanya wajisahau kwakufikiri wamekamata umilikiHawa spurs kuna mda walitushika lkn baada ya kutupa unyumba naona wanatuheshimu chamuhimu tuwaombe tena ili hexhima iongezeke

Yah lkn defence yetu ni babukubwaNadhani ilikuwa mbinu za kuwafanya wajisahau kwakufikiri wamekamata umiliki![]()
Wij alipata kigugumizi for sure ile move ilikuwa ni goal kabisa!Mfungaji kaleta uchoyo ingekuwa goli mbili saiz
Hawa spurs kuna mda walitushika lkn baada ya kutupa unyumba naona wanatuheshimu chamuhimu tuwaombe tena ili hexhima iongezeke
V.A.R imesema in goal
Hakika kabisa na kwa vyovyote vile point 3 tunachukuaTumecheza vyema sana kipindi cha kwanza
Tatizo ni kukosa bao za wazi
Lkn tupo OK saana~