Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Umepata sehemu yakuchekia game huko ulipo?
Nimetafuta Line ya Halotel nimeitest inapakuwa Data Vizuri tu! Ndiyo Nitakayoitumia Kustream games zetu.
Umepata sehemu yakuchekia game huko ulipo?
Tottenham vs Liverpool combined XI ya game ya kesho tu:
Alisson;
Trippier, VVD, Vertonghen, Robertson;
Ericken, Dembele, Keita (hapa nimeshindwa kuchagua kati ya Keita, Wijnaldum, Na Dier);
Mane, Kane, Salah.
NB:
- Nimemweka Mane mbele ya Son kwa kuwa bado Son hajacheza msimu huu.
- Lloris ana maheruhi
Unampenda Luiz...subiri tukutane tuone Firmino atamfanyaje. Au sio mkuu...
Yeah, because a team is made of 1 player.I’m a big fan of The Selecaos
Your boy Luiz is the one caused them to lose 7-1 to Germany
No wonder Antonio Conte benched him
Yeah, because a team is made of 1 player.
Time will tell but save your post nigga.Kesho Kama kawa......Tottenham atawafundisha adabu
Atafundishwa adabu uwanja wake wa nyumbaniKesho Kama kawa......Tottenham atawafundisha adabu
Tupe source"LFC is the worst team in EPL" Jammie Carraga
Kwa tafasiri zaidi ya Swahili, aliendelea kusema "LFC ina cheza vizuri lakini haina malengo, haitakuwa tofauti na Tottenham maika michache baadae" ...mwisho wa kunukuu.
Asanteni.
nahisi wewe sio mzima ata all"LFC is the worst team in EPL" Jammie Carraga
Kwa tafasiri zaidi ya Swahili, aliendelea kusema "LFC ina cheza vizuri lakini haina malengo, haitakuwa tofauti na Tottenham maika michache baadae" ...mwisho wa kunukuu.
Asanteni.
Spurs ni sawa na Burnley. Hata Leeds ni mkubwa kwa Tottenham. Liverpool fc ni calibre ya Los blancos e.t.c"LFC is the worst team in EPL" Jammie Carraga
Kwa tafasiri zaidi ya Swahili, aliendelea kusema "LFC ina cheza vizuri lakini haina malengo, haitakuwa tofauti na Tottenham maika michache baadae" ...mwisho wa kunukuu.
Asanteni.
"LFC is the worst team in EPL" Jammie Carraga
Kwa tafasiri zaidi ya Swahili, aliendelea kusema "LFC ina cheza vizuri lakini haina malengo, haitakuwa tofauti na Tottenham maika michache baadae" ...mwisho wa kunukuu.
Asanteni.

Source ya nini mkuu, hayo ni maneno aliyosema mchezaji wenu wa zamani.Tupe source

Wewe shabiki wa ChelseaKutoka vyanzo vyangu vya khabari mkuu![]()
![]()
![]()
Kuna jamaa alisema hujawahi kuandika comment yenye content,Kutoka vyanzo vyangu vya khabari mkuu![]()
![]()
![]()