Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuna jamaa alisema hujawahi kuandika comment yenye content,
Mara nyingi ni pumba n provocation.
Ngoja na mm niwe nakuignore tu sasa

Ha ha ha, imagine unakuja na quotation ya namna hiyo, tena unaweka quotation marks kwenye sports forum (moja ya Forums zilizostaarabika humu JF).

Kuna vitu tunafanyaga utani lakini huwezi kuja na statement ya namna hivyo halafu anasema source ni yeye mwenyewe.

Pole bosi.
 
Tottenham vs Liverpool combined XI ya game ya kesho tu:

Alisson;

Trippier, VVD, Vertonghen, Robertson;

Ericken, Dembele, Keita (hapa nimeshindwa kuchagua kati ya Keita, Wijnaldum, Na Dier);

Mane, Kane, Salah.

NB:
- Nimemweka Mane mbele ya Son kwa kuwa bado Son hajacheza msimu huu.

- Lloris ana maheruhi
Hata son angecheza bado hafiki uwezo wa mane.
Hivi kwa nn watu mnamchukulia mane simple sana? Au kwa vile ni mu africa?
 
Hata son angecheza bado hafiki uwezo wa mane.
Hivi kwa nn watu mnamchukulia mane simple sana? Au kwa vile ni mu africa?
Inaweza kua sababu na isiwe sababu pia...
Jamaa anatakiwa afunge magoli mengi kwa kadiri iwezekanavyo labda inaweza ikam brandi kuliko alivyo sasa.
 
Hahaha..lazima mfungwe aisee..ni lazima yani hata draw hamuambulii.

Ni hivi kama Son atacheza basi ni tatu na kuendelea. Kama Son na Dele Ali hawapo basi mtatoa draw ama watashinda Moja.

Umepatia kwa Hyeung-min Son aisee, huyo dogo naona ni mwiba Zaidi hata ya dele Alli sema sijui kwanini Mauricio anamu-opt sana Dele kuliko Mkorea huyu
 
Niwatakie wakati mgumu Kabisa mbele ya spurs ,ilipotangazwa Ali na Hugo hawatacheza wakaongeza odd za spurs zikawa 3 moyo ulilipuka kwa furaha nikachukua 1x chap ni uhakika, Yule mkorea karejea kundini sioni pengo la Ali, gentlemen and few ladies spurs ni Hatari,goli rahisi unaweza kuifunga spurs ni set pieces,sio kwa counters ,wote tunajua beki ya spurs ilivyo compatible, matundu kama yapo ni kwa ajili ya kupumua tu.
 
Kama ndoto yangu itakuwa sawa basi ushindi ni 4+

Kutakuwa na goli la mapema ndani ya dk 5 za kwanza

Magnificent goal from firminho litakalo mpa kadi ya njano kwa uvuaji jezi

First goal from keita

Boom Eriksen dead ball
dingi amka usingizini kwa beki ya Spurs ukipata goli 2 umefanya kazi ya damu ,goli 4 utafunga Westham asee
 
Niwatakie wakati mgumu Kabisa mbele ya spurs ,ilipotangazwa Ali na Hugo hawatacheza wakaongeza odd za spurs zikawa 3 moyo ulilipuka kwa furaha nikachukua 1x chap ni uhakika, Yule mkorea karejea kundini sioni pengo la Ali, gentlemen and few ladies spurs ni Hatari,goli rahisi unaweza kuifunga spurs ni set pieces,sio kwa counters ,wote tunajua beki ya spurs ilivyo compatible, matundu kama yapo ni kwa ajili ya kupumua tu.

Kilichomshinda Manure Haimaanishi Kuwa Kitawashinda Watu Wote.
Huyu Delle Ameshacheza Michezo Mingapi na Liverpool na Tikawafunga Spurs na Delle Alli wao?
Delle Alli na Son Ni Wa Kawaida tu.
Na Hao Mabeki Unaowasifu Hata game ya Spurs iliyopita Walikuemo lakini Wamepoteza Mchezo.
 
Graph ya Liverpool inazidi kushuka. Kutoka kushinda nne bila ..mpka 2-1 ...zile nne mzilopigwa mwaka jana zinaweza kurudi tena.
 
Kyumamae leo spurs hatochomoka niamini mimi maana najiamin kuliko maelezo

Save hii kama huamini
 
Kyumamae leo spurs hatochomoka niamini mimi maana najiamin kuliko maelezo

Save hii kama huamini

Tusisahau Kuwa Wembley Ni Sehemu ambayo Ambayo Hatuna Bahati Nayo Kwani Spurs Tokea Wahamie Pale imekuwa Tabu Kuwafunga! Bora Walupokuwa White Hart Lane ilikuwa Ni Rahisi Kujipigia Nyingi na Kuondoka Zetu.

Leo Mimi Naiona Game Kuwa Ni Ngumu.

Nadhani Hata Draw Kwangu Mimi (Mawazo Yangu) itakuwa Powa Kwa Away Game na Top 6.
 
Ni kwel kbs lakin ninaimani na hii Liverpool kuliko timu yeyote ile duniani

Naipenda barca pia lkn cna imani nayo kama ilivyo liverpool kwa sasa

All in all YNWA
 
KIKAO CHA WAZI NA WANAHABARI KUELEKEA
MECHI YA LEO;
Swali kutoka kwa paparazi: "kwanini humpangi
Fabinho"?
Jibu kutoka kwa Klop; " tushakuwa na maswali
kama hayo kumuhusu Robbo na OX,,,,.Fabinho
yuko sawa na nguvu ya kutosha,sio vyema
kumuambia kwamba hutocheza lkn ni lazima ujue
ametoka kwny ligi tofauti,mpango tuliokuwa nao
ni ule ule Fabinho atatupa kitu bora na kutufanya
tuwe bora zaidi"
KUHUSU LOVREN:
Klopp: "Yupo karibu kurejea. Sijawahi kuwa na
shaka na Dejan. Naweza fanya mabadiliko ya
wachezaji wa 5 mpk 6 siku hiyo. Siwezi
kumuhukumu mchezaji kwa dakika 20 ktk maisha
yake ya soka."
KUHUSU KUBADILI KIKOSI;
Klop "Bila shaka ntafanya hivyo,lengo ni kuwa na
team bora kwny kila mechi"
LINI LALLANA ANARUDI?:
Klop " hatokuwepo leo wala wiki ijayo
anaweza rejea baada ya wiki inayofuata"
# YNWA
Ni machache kwa yaliyozungumzwa
# NIMENUKUU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom