SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Lamelaaaaaaaaa
2-2
Lamelaaaaaaaaa
Mwamuzi ameinyonga Tottenham
Kainyima penalty ya wazi kabisa Tottenham
Hii game ilikuwa 2-2
Who’s next?
Ilikuwa sare kabisaEden Kimario
Member since 13/06/2015
We mwenyewe umeonaUshaanza excuses
Ilikuwa sare kabisa
Wamenyimwa penalty Tottenham
Hawa marefa wajinga sana
Mechi ya 5
Salah ana goli ngapi?🤣🤣🤣
HahahahahahahahahahahahahahahahaWatu kama nyie ni vizuri muendelee kuwepo ili tuzidi kuwa prove