kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,751
- 12,140
anazo goli 2Mechi ya 5
Salah ana goli ngapi?í ¾í´£í ¾í´£í ¾í´£
anazo goli 2Mechi ya 5
Salah ana goli ngapi?í ¾í´£í ¾í´£í ¾í´£
Bring on Chelshit with them shit
Tulia wewe hivyo hivyo, tutawapiga goli nyingi saana
Tulia bablai tunaongelea ma forward wenuDah! Umekosea Jukwaa Mkuu Hapa Hatuchezi Ligi Ya Salah Bali tunacheza Ligi inayoitwa English/Barclay Premier League ...
Kwahiyo Tuulize Mechi Ya 5 muna Points Ngapi? Ili tukujibu.
kwa chances za kizembe tulizopoteza, ushindi wa leo ulipaswa uwe 1-4 au zaidi.Kwavile Tumepiga On Target 10 Kwa Zao 3.. Huu ndiyo Ukweli Pekee Wa Kuwa Tumewakamata Vilivyo Kwa Leo.
Kwani On Target Nyingi manake Tumewashambulia Mara Nyingi Kuliko Walivyotushambulia sisi.
View attachment 867113
kwa chances za kizembe tulizopoteza, ushindi wa leo ulipaswa uwe 1-4 au zaidi.
Tulia bablai tunaongelea ma forward wenu
Mbna unapanic
yep...Ilitakiwa iwe 7-1
Wanafiki bhana duhMwamuzi ameinyonga Tottenham
Kainyima penalty ya wazi kabisa Tottenham
Hii game ilikuwa 2-2
Tulia bablai tunaongelea ma forward wenu
Mbna unapanic
Kwa clear chances tulizo create leo hatukustahili kushinda goli 2 kabisa yoyote kwa yote tumepata point 3 ndio cha maana zaidi