Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwenye mpira kuna key player,liverpool Salah ndio key player mipango yote imejengwa kipitia yy,huwezi mfananisha Lallana ambaye karibia msimu mzima alikwa majeruhi ,hana hata mechi fitness alafu mfananishe mchezaji aliyechukuwa tuzo zote uingereza utaonekana chizi.Ramos usimuone mjinga kufanya vile aliona ,ubora wa Liverpool upo sehemu gani,kwani mpaka salah anatoka Liverpool walipossess na create nafasi na kama hujui Marcelo ndio source ya magoli yote kama umefuatilia Madrid ,nusu magoli yao marcelo lazima hausike kwa namna yoyote na Salah alikuwa anamzuia Marcelo kupanda na Marcelo sio mzuri ktk kukaba kwa hiyo Casamero,Kroos,Ramos na Marcelo wote macho yao yalikuwa kwa SALAH na ndio maana viungo wa Liver walitawala sana.Kosa la Liver ni moja tu kukubali lile tukio kuwatoa mchezoni basi kwani hawakuonyesha ukomavu wao ,ukija jumlisha na yale maboko mawili ya kipa ndio yaliwaua.Unachongea ww ni sawa ufanishe umuhimu wa Ronaldo na Asensio au Messi na dembele kisa wote ni watu bila kuangalia uwezo wa huyo mtu husika.

1.Sio jana tu siku zote Liverpool wanacheza vizuri first half second half wanakuwa wabovu

2.Real Madrid huwa hawachezi vizuri first half second half wanakuwa hatari

So ukicheza na Liverpool hakikisha wasikufunge first ikifika second half washambulie lazima utawafunga.First half Marcelo huwa anacheza kama beki but second half anakuwa winga
 
Namjua mignolet na karius, nawafatilia sana sanaa,

Goli la Xhaka ni straight line, kimo ni juu sana, lina spid kali, kipa alikuwa na option moja tu kupanch juu, ukamshinda

Goli la bale, kimo ni cha kawaida hata kaseja angedaka, halikuwa na spid kali, option zikikuwepo kuudaka au kuupoza then kuudaka, kupanch mpira ule ni ujinga maana hata kimo chake kilikuwa ni cha kawaida

Jana nimemla hela my friend kisa huyu karius nilimwambia toka aje vvd, game nying liver hapigiw on target nyingi, na hata akipigiwa huwa ni 1-3 ambazo either anaziotea au ana zi panch ndan ya box. Na watu wanamalizia

Rejea goli la wanyama, dzeko kule roma

Halafu kama hujui Karius, likitumwa kombola hana uwezo wa kulidaka au kulipanch nje, rejea kombola la Korarov, ni Mungu nisaidie likala nguzo

Mignolet ana udhaifu wake lkn karius kazid, kwa jicho la tatu

Labda kama huwa unaangalia mpira matokeo tu,

Nakutajia kipa mwingine aliye pazia ambaye siku za kuumbuka zinakaribia ni Ederson wa man city, hata bravo ilikuwa hivo hivo ni muda tu ulikuja kuongea

Hapa Kwa Ederson Nakuunga Mkono 100% Huyu Jamaa Hamna Kitu Ni Sawa na Karius.

Siku Beki Akikosea Ederson Huumbuka! Na Siku Ya Kuumbuka Ederson ipo Njiani Kama Ulivyosema..
 
Kwa Nilichokiona Katika Msimu Uliomalizika Wa 2017/18

√ Timu inahitaji Usajili Wa Minimum ya Wachezaji 5 Kwa Two Windows (Summer & Winter)

√ Nafasi Zinazohitajika Kusajiliwa Ni:
• Goal Keeper
• Centre Back (Partner Wa VVD)
• Defensive Midfielder
• Attacking Midfielder
• Striker

* Formation inatulazimu iwe:

New GK
TAA - (New CB) - VVD - ROBBO

Keita - (New DM) - BOBBY

SALAH - (New STRIKER) - MANE

Kwenye Hili Eneo La Midfield Ndiyo Linatakiwa Lifanyiwe Mabadiliko Kwa 100%. Tuweni Wakweli Huwezi Shinda Taji Kwa Mido ya 'GINI - HENDO - MILNER'. Hawa Wote Watatu Wanahitaji Kufanyiwa Mabadiliko.

√ Kuna Wachezaji Ni Lazima Waruhusiwe Kuondoka:
• Lallana
• Mignolet
• Clyne
• Klavan
• Ings
• Origi
• Sturridge

Hapo tutakuwa Angalau Tunaweza Kuonesha Ushindani Wa Kuwa Tuko Tayari Kubeba Silverware.

Lakini Kwa Kikosi Hichi Cha Kuwa Atoke Salah Aingie Lallana,
Atoke Mane Aingie Solanke! Basi Tusidanganyane Hatuwezi Beba Kombe Hata La Ndondo Cup.

√ Pia Hatuwezi Shinda Kombe Kwakumtegemea Salah Pekee.

MY TAKE: NI JAMBO LA AIBU KWA MSHABIKI WA LIVERPOOL KULALAMIKA TUMEFUNGWA KISA KAUMIA SALA! Ridiculous!!!!!

Hili Jukumu letu Kuwa na Back up Ya Kila Mchezaji! Backup Ya Salah Mara Nyingi Huwa Ni Solanke au Ings ambao Hawa Wote Ni Shitholes.

Kwahiyo Tusilete Excuse Yoyote Tunapopoteza Mchezo Bali Tukubali Kuwa Hatupati Mafanikio Kwa Sababu Ya UFINYU WA KIKOSI CHETU (Depth).

Naamini Klopp Atajifunza Na Kufanya Mageuzi.
 
Wengine chuki tu zimewajaa achana nao mkuu. Timu imefika hadi fainali then wanaibeza wana akili sawasawa kweli hao,
Kwani Madrid dakika 20 za mwanzo kuna mchezo gani kacheza dhidi ya kuja kusaidia kulinda.

Mpira ni dkk90 (normal time). Kwa hiyo kama mchezaji unatakiwa kuwa mchezoni kwa DKK zote mara baada ya kipenga cha kwanza kupulizwa. Usijifiche nyuma ya dkk20 kuamua sura ya mchezo wa Jana. Liverpool wamekuwa na msimu mzuri lakini bado wana safari ndefu kidogo kujenga kikosi bora na imara. Poleni sana.
 
Kwa Nilichokiona Katika Msimu Uliomalizika Wa 2017/18

√ Timu inahitaji Usajili Wa Minimum ya Wachezaji 5 Kwa Two Windows (Summer & Winter)

√ Nafasi Zinazohitajika Kusajiliwa Ni:
• Goal Keeper
• Centre Back (Partner Wa VVD)
• Defensive Midfielder
• Attacking Midfielder
• Striker

* Formation inatulazimu iwe:

New GK
TAA - (New CB) - VVD - ROBBO

Keita - (New DM) - BOBBY

SALAH - (New STRIKER) - MANE

Kwenye Hili Eneo La Midfield Ndiyo Linatakiwa Lifanyiwe Mabadiliko Kwa 100%. Tuweni Wakweli Huwezi Shinda Taji Kwa Mido ya 'GINI - HENDO - MILNER'. Hawa Wote Watatu Wanahitaji Kufanyiwa Mabadiliko.

√ Kuna Wachezaji Ni Lazima Waruhusiwe Kuondoka:
• Lallana
• Mignolet
• Clyne
• Klavan
• Ings
• Origi
• Sturridge

Hapo tutakuwa Angalau Tunaweza Kuonesha Ushindani Wa Kuwa Tuko Tayari Kubeba Silverware.

Lakini Kwa Kikosi Hichi Cha Kuwa Atoke Salah Aingie Lallana,
Atoke Mane Aingie Solanke! Basi Tusidanganyane Hatuwezi Beba Kombe Hata La Ndondo Cup.

√ Pia Hatuwezi Shinda Kombe Kwakumtegemea Salah Pekee.

MY TAKE: NI JAMBO LA AIBU KWA MSHABIKI WA LIVERPOOL KULALAMIKA TUMEFUNGWA KISA KAUMIA SALA! Ridiculous!!!!!

Hili Jukumu letu Kuwa na Back up Ya Kila Mchezaji! Backup Ya Salah Mara Nyingi Huwa Ni Solanke au Ings ambao Hawa Wote Ni Shitholes.

Kwahiyo Tusilete Excuse Yoyote Tunapopoteza Mchezo Bali Tukubali Kuwa Hatupati Mafanikio Kwa Sababu Ya UFINYU WA KIKOSI CHETU (Depth).

Naamini Klopp Atajifunza Na Kufanya Mageuzi.[/I]
Ngwaba umepanic sana. Relax kwanza Kaka

Madrid hii Pamoja na kuwa na Top players wengi lakini akikosekana Key player mmoja tu kama Ramos timu ina teteleka tumeona game na Juve timu ilivyo struggle
Barcelona wana quality player wengi lakini mechi ya Roma Messi kapotezwa timu nzima ikapotea
Sallah ndio key player wa timu kwa sasa mipango yote ya ushindi wa timu .Movement za timu kwenye upande wa attack inaanzia kwake
 
Kwa Nilichokiona Katika Msimu Uliomalizika Wa 2017/18

√ Timu inahitaji Usajili Wa Minimum ya Wachezaji 5 Kwa Two Windows (Summer & Winter)

√ Nafasi Zinazohitajika Kusajiliwa Ni:
• Goal Keeper
• Centre Back (Partner Wa VVD)
• Defensive Midfielder
• Attacking Midfielder
• Striker

* Formation inatulazimu iwe:

New GK
TAA - (New CB) - VVD - ROBBO

Keita - (New DM) - BOBBY

SALAH - (New STRIKER) - MANE

Kwenye Hili Eneo La Midfield Ndiyo Linatakiwa Lifanyiwe Mabadiliko Kwa 100%. Tuweni Wakweli Huwezi Shinda Taji Kwa Mido ya 'GINI - HENDO - MILNER'. Hawa Wote Watatu Wanahitaji Kufanyiwa Mabadiliko.

√ Kuna Wachezaji Ni Lazima Waruhusiwe Kuondoka:
• Lallana
• Mignolet
• Clyne
• Klavan
• Ings
• Origi
• Sturridge

Hapo tutakuwa Angalau Tunaweza Kuonesha Ushindani Wa Kuwa Tuko Tayari Kubeba Silverware.

Lakini Kwa Kikosi Hichi Cha Kuwa Atoke Salah Aingie Lallana,
Atoke Mane Aingie Solanke! Basi Tusidanganyane Hatuwezi Beba Kombe Hata La Ndondo Cup.

√ Pia Hatuwezi Shinda Kombe Kwakumtegemea Salah Pekee.

MY TAKE: NI JAMBO LA AIBU KWA MSHABIKI WA LIVERPOOL KULALAMIKA TUMEFUNGWA KISA KAUMIA SALA! Ridiculous!!!!!

Hili Jukumu letu Kuwa na Back up Ya Kila Mchezaji! Backup Ya Salah Mara Nyingi Huwa Ni Solanke au Ings ambao Hawa Wote Ni Shitholes.

Kwahiyo Tusilete Excuse Yoyote Tunapopoteza Mchezo Bali Tukubali Kuwa Hatupati Mafanikio Kwa Sababu Ya UFINYU WA KIKOSI CHETU (Depth).

Naamini Klopp Atajifunza Na Kufanya Mageuzi.[/I]
Ndo ulisema firminho aanze Brazil? Nadhani Usha pata jibu
 
Washangiliaji wa Liver kwa mahope, Madrid kawatowa mabingwa wa ligi 3 kubwa za Ulaya na kama ukifuatilia mechi za Madrid huwa wanaanza game slow kuwasoma wapinzani ndo maana kama haujapata goli ndani ya dk 20 huwezi kuwafunga. Midfield ya Liver haina hawechezaji wa kucheza muda wote wa dk 90 bila kuchoka
Goli la Mane ni la dakika ya ngapi?
 
Hii idea kuwa alipotoka Salah basi Marcelo akawa free kupanda mbele sielewi kabisa.
Kwa sababu alipotoka huyo Salah nafasi yake haikubaki empty. Alikua replaced na Lallana.

Sasa iweje mseme Marcelo akabaki free kwenda kutengeneza magoli mbele wakati katoka mtu kaingia mtu.
Ni kwa sababu Mo anacheza kama front 3 ina maana muda wote anakuwa mbele akisubiri mipira katika mfumo wa 4.3.3 kutoka kwake kuingia Lalana ikabidi warudi 4.4.2 hii inampa nafasi Marcelo nafasi ya kupanda maana beki za kati Madrid wanakaa na Firminho tu na midfield wana cover gape la Marcelo. kucheza na team 4.3.3 inakuwa ngumu kwa fullback kupanda kila mara ila 4.4.2 ukiwa na midfield wazuri utajikuta kila dakika uko mbele. ile game ni wazi kutoka kwa Salah tu ndio wakaanza kufika mbele. dakika zote alozikuwepo Mo Real walikuwa hawatoki nyuma wakihofia kuacha mianya sababu ya speed. ila 4.4.2 wakaweza kucheza highline inampa Marcelo chance hata yule Nacho akawa anaenda mbele.
 
Ndo ulisema firminho aanze Brazil? Nadhani Usha pata jibu
Firminho sio number 9 ana fit zaidi katika mfumo wa 4.3.3 sababu wakiwa watatu wanakuwa wanazunguka wote wa tatu kilichotokea jana baada ya kuingia Lalana ikabidi waende 4.4.2 ina maana ikabidi awe kati ikawa ngumu kwake kufanya kitu hakuna movement. unakumbuka siku Conte alipomweka Hazard kama number 9? Hazard akapotea maana sio style yake ni lazima atokee pembeni lakini haina maana Hazard akawa mchezaji mbaya kwa siku moja. Firminho wakati anakuja Liv hakuwa typical #9 alikuwa kama winger hivi sio kama kina Drogba au Costa. ndio maana kabla hajatoka Mo firminho alikuwa anapenyeza mipira.
 
Kitu kimoja ni lazima Live tuwe na 16 players wote viwango na zaidi kipa ni lazima na lazima tupate centre forward#9 ili tuwe na system 2 tunaweza kwenda 4.3.3 au 4.5.1 Firminho akacheza deep kama midfield Salah na Mane wings halafu tuwe na mtu striker number 9 type za kina Costa na Drogba. tukiwa home tunaenda 4.3.3
 
Ni watu wawili tofauti.
Kwahiyo Jombaa huyo aliyeingia alikua anasimama kama mti, hakabi, hashambulii, hashambulii.
Hata akipata mpira basi Madrid hawamkabi?????
Acheni mambo ya kiboya. Ladecima Halla Madrid
Wewe ndo boya,Salaah ana magoli mangapi,assist ngapi na alikuwa threat kiasi gani hadi umlinganishe na Lalana.Salah ni world class player halingani siyo na lalana tuu bali kikosi chote cha Liverpool anayemkaribia ni Mane na Firmino.Siyo lazima ukubaliane na mimi kama hutak unaacha.Mwenye akili hawezi kupinga.
 
Kwenye mpira kuna key player,liverpool Salah ndio key player mipango yote imejengwa kipitia yy,huwezi mfananisha Lallana ambaye karibia msimu mzima alikwa majeruhi ,hana hata mechi fitness alafu mfananishe mchezaji aliyechukuwa tuzo zote uingereza utaonekana chizi.Ramos usimuone mjinga kufanya vile aliona ,ubora wa Liverpool upo sehemu gani,kwani mpaka salah anatoka Liverpool walipossess na create nafasi na kama hujui Marcelo ndio source ya magoli yote kama umefuatilia Madrid ,nusu magoli yao marcelo lazima hausike kwa namna yoyote na Salah alikuwa anamzuia Marcelo kupanda na Marcelo sio mzuri ktk kukaba kwa hiyo Casamero,Kroos,Ramos na Marcelo wote macho yao yalikuwa kwa SALAH na ndio maana viungo wa Liver walitawala sana.Kosa la Liver ni moja tu kukubali lile tukio kuwatoa mchezoni basi kwani hawakuonyesha ukomavu wao ,ukija jumlisha na yale maboko mawili ya kipa ndio yaliwaua.Unachongea ww ni sawa ufanishe umuhimu wa Ronaldo na Asensio au Messi na dembele kisa wote ni watu bila kuangalia uwezo wa huyo mtu husika.
Mkuu hilo jamaa achana nalo ,kule kwetu mijitu kama hayo huwa tunayaita Entabani.Linakomalia ujinga.
 
Tumekufa kishijaa. Nilichogundua mbali na silly mistake za Karius, na Majeraha ya Salah Liverpool wanakikosi kidogo sana. Yaani baada ya kuumia Salah backup yake ni lalana, serious kweli! Kwenye banch kulikuwa na wagalasa kibao yaliyobakia. Liverpool inaitaji kikosi kikubwa.

Kloop ni kocha mzuri. Nimeumia na nimemsikitikia sana hii ni fainali yake ya 3 anapoteza. All in all we r liverpool.

Fainali ya sita akifeli, soma takwimu vizuri. Labda kwa Liverpool pekee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom