barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,803
Mashabiki wa Liverpool na hata kocha wao walikuwa COCKY sana badala ya kuwa confident. Hatukusikia majivuno yoyote toka kwa upande wa Real Madrid.
Liver walikuwa wako bize na misemo kama champions ligi iko ktk dna yetu, tunaenda chukua kombe la sita (wanasahau wanaecheza nae ana vikombe 12 na ndani ya miaka 4 kachukua mara 3), huku Tz nako kila ukikutana nao ni kelele tu hata humu jf.
Sasa mkae kimya, mpira hauchezwi midomoni.