Sio Mmbabaishaji! Kama Hunielewi Hilo Ni Kosa Lako, Mimi Sihusiki Na Ufahamu Wako.
Nadhani Unapaswa Kujifunza Maana Ya Touch na Passes Na Passes Accuracy
• Umehadalika Na 100% ya Tackles won wakati Tackles zote alizocheza Ni 4 tu! Hebu Kuwa Serious basi manake Hata Sadio Mane Mshambuliaji ana 100% tena Yeye ana tackles 6.
• Umehadalika Na 94% ya Passes Accuracy wakati Passes Zenyewe Ni 70 tu?? Hebu Calculate ikiwa Passes 70 = 100%, Je 94% Ni Sawa Na Passes Ngapi?
Hizo Ni Performance Mbovu Bhana Kwa Mtu Kama Modric.