Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sababu za Liverpool kufungwa
1.Lack of maturity
Baada ya salah kuumia, timu yote ilichanganyikiwa na kutoka mchezoni.

2.Hawana kiongozi
Hamna mtu mwamasiahaji na mwenye uwezo wa kushusha presha ili kuwarudisha wenzake mchezoni.

3.Kipa - huyu leo ameifanya Liverpool iwe kama gagulo linabana juu chini linaachia,yaani huyu ni wakugawa bure.
 
Season Ya 2017/18 imeshamalizika:

× NO TROPHY

√ ONLY IMPROVEMENT

× NDANI YA MISIMU 3 YA LIVERPOOL, KLOPP AMESHAPOTEZA FAINALI 3 MFULULIZO.

LEO NAJIRIDHISHA KUWA KLOPP KWENYE FAINALI HATA ACHEZE NA NJOMBE MJI BASI ATAPOTEZA.
Hahaa mngeshinda ungebonga kinooma ila pole sana
 
Sababu za Liverpool kufungwa
1.Lack of maturity
Baada ya salah kuumia, timu yote ilichanganyikiwa na kutoka mchezoni.

2.Hawana kiongozi
Hamna mtu mwamasiahaji na mwenye uwezo wa kushusha presha ili kuwarudisha wenzake mchezoni.

3.Kipa - huyu leo ameifanya Liverpool iwe kama gagulo linabana juu chini linaachia,yaani huyu ni wakugawa bure.
 
Hivi Liverpool walitaka kushinda au kushiriki? Real Madrid players are world class, cheki pasi walizocheza, defending waliyofanya
Goli la Mane ni juhudi binafsi
Kwa mtaji huu nawasiwasi kama Sadio Mane na MO Sala watabaki Liverpool msimu ujao
 
Tumekufa kishijaa. Nilichogundua mbali na silly mistake za Karius, na Majeraha ya Salah Liverpool wanakikosi kidogo sana. Yaani baada ya kuumia Salah backup yake ni lalana, serious kweli! Kwenye banch kulikuwa na wagalasa kibao yaliyobakia. Liverpool inaitaji kikosi kikubwa.

Kloop ni kocha mzuri. Nimeumia na nimemsikitikia sana hii ni fainali yake ya 3 anapoteza. All in all we r liverpool.
 
Kuna muda nlikiwa namuona klopp anataka kufanya mabadiliko lilipoingia goli la pili lakini kule benchi haoni mtu sijui hii timu imefikaje fainali.
Hii timu imefika fainali kimagumashi Sana!
 
Tumekufa kishijaa. Nilichogundua mbali na silly mistake za Karius, na Majeraha ya Salah Liverpool wanakikosi kidogo sana. Yaani baada ya kuumia Salah backup yake ni lalana, serious kweli! Kwenye banch kulikuwa na wagalasa kibao yaliyobakia. Liverpool inaitaji kikosi kikubwa.

Kloop ni kocha mzuri. Nimeumia na nimemsikitikia sana hii ni fainali yake ya 3 anapoteza. All in all we r liverpool.
Pole sana brother ndo soka hilo.
 
Kuondoka kwa Coutinho kumetugharimu sana mkuu. Vile vile eneo la kiungo katika timu kiujumla lilipata mtikisiko baada ya mapengo mawili ambayo ni ya Coutinho na Emre Can. Kuhusu Forward mi nadhani Uwezo wetu wa kifedha ndio inaweza kuwa sababishi, maana pesa Klopp amezitumia vizuri.
 
Football ni game la chances na makosa, timu moja ikifanya kosa mpinzani anatumia chance as an advantage ywna!
 
Sema mngechambwa kule jukwaani kwenu na hawa Majogoo.. Acha wapumzike kidogo
Yaani nilikuwa nawaza sana hilo nasema nawasapot sababu ya England tu na mwanetu Salaah ila so siri tungekomaaaa!!! Tungefufuliwa na yote yale ya kabatini ya Enzi zileeeee!!
 
Season Ya 2017/18 imeshamalizika:

× NO TROPHY

√ ONLY IMPROVEMENT

× NDANI YA MISIMU 3 YA LIVERPOOL, KLOPP AMESHAPOTEZA FAINALI 3 MFULULIZO.

LEO NAJIRIDHISHA KUWA KLOPP KWENYE FAINALI HATA ACHEZE NA NJOMBE MJI BASI ATAPOTEZA.

Kuwa appreciative basi mkuu,

Klopp ni kocha bora aliekuja Liverpool, performance ya leo ilikuwa nzuri ila majeruhi ya Salah yanaweza kuwa ni sababu kubwa ya kupigwa leo
 
Sababu 3 kuu za kufungwa:
1- Uzembe wa goalkeeper kuruhusu magoli mawili ya hovyo..
2- Ufinyu wa kikosi..
3- Kuumia kwa Salah..

[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]
 
Sababu za Liverpool kufungwa
1.Lack of maturity
Baada ya salah kuumia, timu yote ilichanganyikiwa na kutoka mchezoni.

2.Hawana kiongozi
Hamna mtu mwamasiahaji na mwenye uwezo wa kushusha presha ili kuwarudisha wenzake mchezoni.

3.Kipa - huyu leo ameifanya Liverpool iwe kama gagulo linabana juu chini linaachia,yaani huyu ni wakugawa bure.

Na Ndiyomana Huwa Nasemaga Henderson Sio Captain! Yani Anashindwa Kuwaongoza Wachezaji Wake Katika Hali Ya Kawaida tu...

Hata Anashindwa Kujifunza Kwa Gerrard Ambaye Timu ilishafungwa 3 - 0 Na AC Milan hatimae Gerrard Aliwaongoza Wachezaji Wake Wakashinda Game.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom