Kiukweli karius tunaojua mpira kwa jicho la tatu tulikuwa tunajua ipo siku atawaumbua
Game karibu zote anasaidiwa na beki, game nying timu pinzan walikuwa wanatoka bila shoot on target, halafu mashabik wa liver wanamsifia Karius,
Nilisema humu kwaninavyowajua wachezaj wa madrid wanaopiga nje ya box ni weng, hivo nilijua ataumbuka tu,
Game ya pil ya roma alianza kuumbuka,
Game nying toka aje vvd huyu karius hajakutana na mishe mishe, mpaka ya Roma, game ya man city, hawakupiga on target, game ya etihad ukuta ulimlinda, Tunaomjua karius kwa jicho la tatu, tuliposikia anacheza na madrid, tulijua shughuli imeisha, maana ina watu ambao nje ya box wanaachia machine, kuna Kroos, cr7,marcelo, bale, casemiro
Yale magoli mignolet hafungwi, labda gol la pili
Huwez kubeba kombe na kipa kama Karius,
Ni dhambi kubwa