Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sababu za Liverpool kufungwa
1.Lack of maturity
Baada ya salah kuumia, timu yote ilichanganyikiwa na kutoka mchezoni.

2.Hawana kiongozi
Hamna mtu mwamasiahaji na mwenye uwezo wa kushusha presha ili kuwarudisha wenzake mchezoni.

3.Kipa - huyu leo ameifanya Liverpool iwe kama gagulo linabana juu chini linaachia,yaani huyu ni wakugawa bure.

Si kweli
Uliyo ongea yote hamna chochote cha ukweli
Katoka salah tumesawazisha bao baada ya kuwapa bao la kipuuzi Madrid
Tulitoka mchezoni vipi wkt tumesawazisha bao na huyu kipa mwehu kawapa mabao mawili ya kijinga?
Madrid na Liverpool walienda toe to toe hata Salah alipo umia!
Kipa gives Madrid championship.Hayo mwngine ni mbwembwe tu
 
Fainali sio bahati, ni mbinu,

Madrid alivokua kaanza slow aliwapa matumaini liva wakati huo liva alikua anataka kumaliza game mapema.

Mkubwa ni mkubwa tu

Mbinu zao zilikuwa kipa Karius awape ubingwa?
Wote tumeona hii game dakika 90 hap akina Modric wanaruka ruka tu
Karius ndiyo kawapa ubingwa sio kuwapa Madrid sifa wasizo stahili
 
Ramos kafanya yake
IMG-20180527-WA0026.jpg
 
The shoulder injury Mohamed Salah sustained during Liverpool’s Champions League final defeat to Real Madrid on Saturday evening is ‘serious’, Jürgen Klopp confirmed.
 
Jinsi Dunia ilivyomuandama Karius Sijui Kama Ataunga!!

loris-karius-frank-lampard-ps_6brohtop276w1m09ybz1a1i82.jpg


Karius needs all support in the world after Madrid clangers but Liverpool career should be over

Mark Doyle
 
Jinsi Dunia ilivyomuandama Karius Sijui Kama Ataunga!!

View attachment 787265

Karius needs all support in the world after Madrid clangers but Liverpool career should be over

Mark Doyle

Hawezi rudi Liverpool huyu mwehu!
Hata alipo toka Salah bado Liverpool wali match na Madrid
CR anaenda kwa TAA moto anakuja kwa Robo moto anaruka ruka tu
VVD na Lovren ni patner bora kwa sasa Yurope
 
Hawezi rudi Liverpool huyu mwehu!
Hata alipo toka Salah bado Liverpool wali match na Madrid
CR anaenda kwa TAA moto anakuja kwa Robo moto anaruka ruka tu
VVD na Lovren ni patner bora kwa sasa Yurope
Liverpool angekuwa na Asensio, Vasquez benchi angechukuwa kombe sub za kina CAN, LALANA, INGS hata FA haupati kila siku unatusumbua kwa vimaneno leo umekuja na partner bora wakati wachezaji 90 % ulionao hawajakomaa ,UEFA sio michezo ya majaribio klop ataendelea kuliona kwa mbali
 
Beki Bora Wa Dunia Au Wrestler Bora Wa Dunia? Hebu Fafanua.

Ni Kolichoshangaza Wengi Ni Pale Salah Anatolewa Basi Ramosi Anacheka Kwa Furaha Kama ishara Ya Kufanikiwa Plan Yake.
mkuu ajali kama aliyoipata Salah sio ya Kwanza kutokea na Ramos kuhusika kwenye Ajali hiyo haiwezi kufanya asiwe beki bora duniani ndio maana tunaliona Mara Kwa Mara FiFA pro 11 wanakuja wakina chiellin,bonucci wanavuma Msimu mmoja lakini wanapotea ramos &pique wapo tu wakionyesha class is permanent
 
Madrid ndiyo ana kiwango kikubwa?
Wamefanya nn kwa kushinda leo?
Karius kawapa ubingwa,hayo mengine ni mahaba yenu tu kwa Madridi lkn hao akina CR leo wanakimbia kimbia tu dakika zote 90
Kuwa na benzema ni Hazina kubwa kuliko filiminho 10 ,benzema mechi ya Bayern kafunga goli lenye kosa linaloendana na Leo, anawalazimisha mfanye makosa mtamlaumu kipa lakini pressure ni kubwa viumbe hawa Madrid wanapokuwa uwanjani
 
Mbinu zao zilikuwa kipa Karius awape ubingwa?
Wote tumeona hii game dakika 90 hap akina Modric wanaruka ruka tu
Karius ndiyo kawapa ubingwa sio kuwapa Madrid sifa wasizo stahili
Ukiangalia stats mmezidiwa kila kitu possession 61 kwa 39,shot on na off target mmepiga nusu ya Madrid walizopiga.sijui unajitetea nn kipa alipatwa na kiwewe tu BENZ alijiposition tu anastahili sifa maana kazi ya striker ndio hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom