Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nyie mmebahatisha kuingia final basi mnajiona mmechukua.

Pumbavu!! Tangu lini Madrid akakuacha fainali?

Uzuri ni kwamba Klopp hanaga bahati kabisa na fainali.

Utapigwa tatu kavu.


Kubahatisha Hakuna Mipaka, Kwanini Na Nyinyi Chelsea Musibahatishe Basi Mukafika Fainali?
Au Hamukupenda Kufika Fainali?
 
Mohamed Salah's very own Kop chant has received a special seal of approval – from the band whose melody is used to celebrate Liverpool's prolific forward.

Mo Salah, Mo Salah, Mo Salah… running down the wing!
Salah, la, la, la, laaaaa… the Egyptian King!



Allez, Allez, Allez
 
Bad News!!!!!

Philippe Coutinho will receive a medal following Liverpool's Champions League final against Real Madrid in Kiev.
Anfield officials have decided that the Brazilian's contribution to the campaign should be recognised, despite the fact he left for Barcelona in a £142million move back in January.

Jurgen Klopp has always insisted he didn't bear a grudge against Coutinho for pursuing the move to Barcelona and a medal will be dispatched to Catalonia
 
Nyie mmebahatisha kuingia final basi mnajiona mmechukua.

Pumbavu!! Tangu lini Madrid akakuacha fainali?

Uzuri ni kwamba Klopp hanaga bahati kabisa na fainali.

Utapigwa tatu kavu.
Lamli chonganishi achana na izo poor beliefs
 
The day is near
Screenshot_2018-05-25-12-28-58.jpg
 
Ingawa sipendi Liverpool ashinde kwa sababu ya kelele za kina King Ngwaba na mwenzake Malafyale, lakini nikiangalia kwa jicho la pili sioni Madrid akishinda hii gem.
Liverpool ana chance kubwa sana ya kuchukua ndoo kama wakikeep their cool.
Nakuomba tuwe pamoja kwa usiku wa kesho tu
Madrid namfunga easy sana!
 
Mashabiki wa Liverpool wameendelea kusafiri umbali mrefu kutoka Uingereza kwenda Kiev. Kwa ajili ya fainali ya klabu bingwa ulaya dhidi ya Real Madrid, mfano mmoja alikuwa anasema ametumia siku nne akipitia Sweden, kisha anaingia Latvia, anaingia Lithuania kisha Ukraine
Mshabiki mwingine amesema anatokea mjini Liverpool akipanda Train mpaka Glasgow, pale Glasgow anapanda Ndege mpaka Palanga nchini Lithuania kisha anakodi gari kama saa tatu njiani hivi kueleka uwanja wa ndege wa Vilnius hapo anapaa kuelekea Kiev.

Steven Thompson, 33, yeye anafunga ndoa leo, amekata tiketi ya ndege ya kwenda na kurudi ambapo mpango ni arejee Jumapili ili aende kwenye fungate na ambaye sasa atakuwa mkewe Bi Rachael.
Rachel amekubali mumewe aende akatimize mapenzi yake kwa mpira wa miguu lakini arejee jumapili waende fungate Australia. Sasa Steven anasema sawa huyu ameniruhusu na huenda amekasirika kiasi, ila hofu yangu ni ikiwa nitaikosa ndege ya jumapili.
Fainali ya klabu bingwa ulaya inapigwa hapo kesho, Nani ataibuka na kicheko? Christiano Ronaldo na Real Madrid yake au Mohamed Salah na Liverpool?
 
Ingawa sipendi Liverpool ashinde kwa sababu ya kelele za kina King Ngwaba na mwenzake Malafyale, lakini nikiangalia kwa jicho la pili sioni Madrid akishinda hii gem.
Liverpool ana chance kubwa sana ya kuchukua ndoo kama wakikeep their cool.
Liver hachomoki kesho, anakula 3-1. Ule mpira wa pressing ni wa kuwasumbua kina Stoke sio Madrid.
 
mkuu... utabiri wako huwaga nauaminia.
zile fujo zetu za goli 3 ndani ya dakika 30 hawa R Madrid sidhani kama wana defence ya kuzizuia!
Mechi haichezewi Anfield mkuu mbele ya kops, hiyo mechi kwa Liver ni kama away mechi zingine wakati kwa Real ni home away from home!
Kesho kutwa msikimbie humu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom