Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,902
- 3,566
Poleni
Acheni visingizio nyie ni katimu kadogo
Acheni visingizio nyie ni katimu kadogo
Sijajua mpira uliangalia dk ya ngapi, dk za mwanzo Liverpool wali possess kuliko Madrid kutoka mwanzo mpaka salah alipoumia mpira ukabadilika kabisa Madrid wakaanza kutawala na hata wale watangazaji waliliona hili na Waka coment mambo mawili lack of maturity na timu kutokuwa na kiongozi na hata kabla kipindi cha pili, mmoja wa wale wachambuzi aka comment kwamba, liver wamekosa kiongozi na wachezaji wake hawajapevuka na ndicho kilicho wagharimu liver japokuwa walijaribu kuchomoa goli, lkn hawakuwa mchezoni baada ya salah kutoka, wote walipoteana.yaan jana Madrid wamshukuru huyu fala Ramos, ndiye aliyesabisha haya lkn jana Ronaldo, modric, marcelo nk wote walipotea lkn alivyoumia salah, tu hata effect ya marcelo uliiona. Kwa kifupi walioamua mechi ni watu wawili Ramos na marcelo ambao wote jana macho yao yalikuwa kwa salah.Si kweli
Uliyo ongea yote hamna chochote cha ukweli
Katoka salah tumesawazisha bao baada ya kuwapa bao la kipuuzi Madrid
Tulitoka mchezoni vipi wkt tumesawazisha bao na huyu kipa mwehu kawapa mabao mawili ya kijinga?
Madrid na Liverpool walienda toe to toe hata Salah alipo umia!
Kipa gives Madrid championship.Hayo mwngine ni mbwembwe tu
This is bone fracture and not disslocationYote sababu ya beki bora wa dunia View attachment 787263
kabla Y Salah kutoka Madrid hawakuweza kupiga shoot hata mara moja na tulikuwa tunawa press vizuri kutoka Mo tu utaona shock ya kila mtu mpaka mashabiki halafu anakuja yule kipa anatoa zawadi sio moja mara mbili. akatafute team ya kucheza mwakani sio Liver. Ramos ni katika watu wa hovyo sana kamvunja mkono Mo halafu anajirusha ili mtu apewe red utasema mtoto mdogo.Alipotoka tu Salah timu nzima ilichanganyikiwa, kuanzia benchi mpaka uwanjani
Hapo sijui nani ndo alikuwa anaruka ruka tuMbinu zao zilikuwa kipa Karius awape ubingwa?
Wote tumeona hii game dakika 90 hap akina Modric wanaruka ruka tu
Karius ndiyo kawapa ubingwa sio kuwapa Madrid sifa wasizo stahili
Unaweza niambia tofouti ya dislocation na fracture mkuu....Yote sababu ya beki bora wa dunia View attachment 787263
Naitaji kusikia kauli ya Malafyale. Bale Hana huruma na timu za uingereza.Poleni sana bandugu, duhhh mwanetu Bale amewaua kabisaaa kama hakuwahi kukaa England![]()
![]()
![]()
Pole. Kheri yetu tumekumbatia FA capuuuuTunashukuru sana Karius
Mungu akubariki Karius
Simba 10 kanaume kamoja kajinga!
HaaaaaaaaaaaaaaaaKipa anadaka mpira kama anacheza rede bana![]()
![]()
![]()
![]()
Mbinu zao zilikuwa kipa Karius awape ubingwa?
Wote tumeona hii game dakika 90 hap akina Modric wanaruka ruka tu
Karius ndiyo kawapa ubingwa sio kuwapa Madrid sifa wasizo stahili
kabla Y Salah kutoka Madrid hawakuweza kupiga shoot hata mara moja na tulikuwa tunawa press vizuri kutoka Mo tu utaona shock ya kila mtu mpaka mashabiki halafu anakuja yule kipa anatoa zawadi sio moja mara mbili. akatafute team ya kucheza mwakani sio Liver. Ramos ni katika watu wa hovyo sana kamvunja mkono Mo halafu anajirusha ili mtu apewe red utasema mtoto mdogo.