Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sababu 3 kuu za kufungwa:
1- Uzembe wa goalkeeper kuruhusu magoli mawili ya hovyo..
2- Ufinyu wa kikosi..
3- Kuumia kwa Salah..

[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]
Kuumia sio sababu sema ufinyu wa kikosi salah atakuwepo milele pale?

Anatoka isco anaingia bale anatoka benzema anaingia asensio pia hata kama liverpool wangetimia bado pumzi ingekata tu zizou angekuwa na option nyingi mno wakat klopp alikuwa na lalana tu bench can katoka majeruh wajuz hatukutia neno hapa tulijua liverpool anaumia ukiacha mkos wa kocha mech za final


Timu za england zinahitaj kuwekeza sana ktk soka la maana kama city anavyofanya bila hivyo tutaumia sna
 
our UCL ride was as good as it lasted.
nice try but we currently don't have the squad depth to compete with the UCL elite at this level.

pretenders like Karius should be ranked 3rd in the pecking order. surely!

in a nutshell, tungeshinda finali hii na kikosi chetu average kama kile vs kikosi quality cha R Madrid, basi Klopp angestahili kuitwa ni kocha genius kuliko wote duniani. seriously!

sasa challenge kwa Klopp kwenye summer hii ni kutengeneza depth yenye quality kwa ajili ya kutuletea silverware next season. bila ndoo yoyote next season (hata kama ni ya mbuzi like FA Cup, etc), Klopp atakuwa anajijengea mazingira yasiyo rafiki na sitawalaumu watakaoanza kulilia kichwa chake!!

sampling......
1 new GK (eg Allison / Oblak) - first 11
1 new CB (TBA) - first 11
1 new DM (eg Jorginho) - first 11
1 new AM (eg Fekir) - first 11
1 new CF (TBA) - bench

YNWA!
 
Ndugu yangu malafyale kwa kukaja tulikuwa tunakuchora hapa mechi iliisha toka muda tu anglieni upana wa timu yenu tuliogopa kutia neno tunajua ligi zako
 
Kuondoka kwa Coutinho kumetugharimu sana mkuu. Vile vile eneo la kiungo katika timu kiujumla lilipata mtikisiko baada ya mapengo mawili ambayo ni ya Coutinho na Emre Can. Kuhusu Forward mi nadhani Uwezo wetu wa kifedha ndio inaweza kuwa sababishi, maana pesa Klopp amezitumia vizuri.


Mkuu Klopp Si Kwamba Hana Uwezo Wa Kununua Centre Forward! Bali Ndiyo Ameshajiamulia Kuchezesha Timu Bila Ya Striker Na Ndiyo Mana Humsikii Kuingia Sokoni Kutafuta Striker.
 
Yaani nilikuwa nawaza sana hilo nasema nawasapot sababu ya England tu na mwanetu Salaah ila so siri tungekomaaaa!!! Tungefufuliwa na yote yale ya kabatini ya Enzi zileeeee!!
Hawa jamaa wangeshina na vile hatuna hata kakombe ka kusingizia moto ungetuwakia vibaya sana.
 
Tumekufa kishijaa. Nilichogundua mbali na silly mistake za Karius, na Majeraha ya Salah Liverpool wanakikosi kidogo sana. Yaani baada ya kuumia Salah backup yake ni lalana, serious kweli! Kwenye banch kulikuwa na wagalasa kibao yaliyobakia. Liverpool inaitaji kikosi kikubwa.

Kloop ni kocha mzuri. Nimeumia na nimemsikitikia sana hii ni fainali yake ya 3 anapoteza. All in all we r liverpool.

Hapo ilibidi Nicheke Chini Kwa Chini! 😀😀😀

Yani Anatoka Salah Anaingia Lallana!!!!!!!!

Wakati Wenzetu Anatoka ISCO anaingia BALE 😀😀😀
 
KLOPP for life
Huyu apewe mkataba wa maisha kama enzi zile akina Bill shanky na Bob Pleasey na Jon Fagan
Kuondoka Liverpool hadi siku kifo kinamchukua!
Liverpool ni best team Ulaya as we speak now!
Mh
 
Fainali sio bahati, ni mbinu,

Madrid alivokua kaanza slow aliwapa matumaini liva wakati huo liva alikua anataka kumaliza game mapema.

Mkubwa ni mkubwa tu
 
Brother toa kwanza pole siyo tabia nzuri kuonesha tabia hizi msibani
Hahahaaaa, nina furaha leo dada angu acha tu!

Kuna workmates wenzangu kama watatu niliwaahidi jersey za Madrid kama watamfunga liva, kesho natakiwa nitimize ahadi yangu.
 
Mkuu Klopp Si Kwamba Hana Uwezo Wa Kununua Centre Forward! Bali Ndiyo Ameshajiamulia Kuchezesha Timu Bila Ya Striker Na Ndiyo Mana Humsikii Kuingia Sokoni Kutafuta Striker.


Labda inaweza kuwa hilo ndilo tatizo ambalo kalitengeneza mwenyewe otherwise Klopp ni kocha bora alietua Merseyside
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom