Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,298
- 33,624
Karius jana alibet Liver tunafungwa,si kwa upumbavu ule
Mkuu sijui unaongea nini, wote tumeona mpira, Real Madrid walikuwa kwenye possession for the entire 90 minutes. Na ndio kosa walilofafanya Liverpool, huwezi kumwacha opponent wako apige mpira saa zote, lazima upoteze game. Kwa hiyo sikubaliani na wewe eti Real Madrid walikuwa wanarukaruka, nilichoona mimi Liverpool walipaki bus, sijui nani alikuwa mshauri wa Klop, Mourinho?
Sio entire 90mins, Ni only 60mins after Mo injury. Kabla Ya Kuumia Mo Salah tulikuwa Upper Hand Na tuliwakamata Kila idara! Lakini alipoumia Mo Salah tu Marcelo Akaanza Kuamsha Popo hapo Ndiyo Balaa lilipoanzia.
Ni Kweli Madrid Walicheza Uzuri as a Team Lakini individually Mchezaji Kama Ronaldo, Kroos Na Modric hawakuwa Na Mchezo Mzuri.
kabla Y Salah kutoka Madrid hawakuweza kupiga shoot hata mara moja na tulikuwa tunawa press vizuri kutoka Mo tu utaona shock ya kila mtu mpaka mashabiki halafu anakuja yule kipa anatoa zawadi sio moja mara mbili. akatafute team ya kucheza mwakani sio Liver. Ramos ni katika watu wa hovyo sana kamvunja mkono Mo halafu anajirusha ili mtu apewe red utasema mtoto mdogo.
Sijajua mpira uliangalia dk ya ngapi, dk za mwanzo Liverpool wali possess kuliko Madrid kutoka mwanzo mpaka salah alipoumia mpira ukabadilika kabisa Madrid wakaanza kutawala na hata wale watangazaji waliliona hili na Waka coment mambo mawili lack of maturity na timu kutokuwa na kiongozi na hata kabla kipindi cha pili, mmoja wa wale wachambuzi aka comment kwamba, liver wamekosa kiongozi na wachezaji wake hawajapevuka na ndicho kilicho wagharimu liver japokuwa walijaribu kuchomoa goli, lkn hawakuwa mchezoni baada ya salah kutoka, wote walipoteana.yaan jana Madrid wamshukuru huyu fala Ramos, ndiye aliyesabisha haya lkn jana Ronaldo, modric, marcelo nk wote walipotea lkn alivyoumia salah, tu hata effect ya marcelo uliiona. Kwa kifupi walioamua mechi ni watu wawili Ramos na marcelo ambao wote jana macho yao yalikuwa kwa salah.
Hii timu imefika fainali kimagumashi Sana!
Walikua hawataki kusikia hii kauli kabsa ila ndo ukweli
Statistics za mechi izo hapo na kuna mda ilikuwa position ya 78-22 sasa unaweza bila aibu kusema kipa ndokawapa ubingwa wakati unajionea ww mwenyewe kila sehemu mulizidiwa vibaya na hata ivyo mlijitaid ilibid mpigwe nying said ya hapo.Mbinu zao zilikuwa kipa Karius awape ubingwa?
Wote tumeona hii game dakika 90 hap akina Modric wanaruka ruka tu
Karius ndiyo kawapa ubingwa sio kuwapa Madrid sifa wasizo stahili
Kuwa na benzema ni Hazina kubwa kuliko filiminho 10 ,benzema mechi ya Bayern kafunga goli lenye kosa linaloendana na Leo, anawalazimisha mfanye makosa mtamlaumu kipa lakini pressure ni kubwa viumbe hawa Madrid wanapokuwa uwanjani
Kitendo cha kipa kuharakisha kurusha mpira ndiyo pressure yenyeweAcha Kuongea Uongo! Goli La Benzema Hapakuwa Na Pressure Yoyote.
Mpira Aliudaka Kipa Akiwa Peke Yake Katulia! Bali Alijifanya Ana Haraka Katika Kuanza Ndiyo Akamuanzia Benzema Mguuni.
Goli la Pili la Gareth Bale Ndiyo Unaweza Sema Kipa Kafungisha Lakini Kutokana Na Pressure Ya Mchezo.
Statistics za mechi izo hapo na kuna mda ilikuwa position ya 78-22 sasa unaweza bila aibu kusema kipa ndokawapa ubingwa wakati unajionea ww mwenyewe kila sehemu mulizidiwa vibaya na hata ivyo mlijitaid ilibid mpigwe nying said ya hapo.
View attachment 787353
Kitendo cha kipa kuharakisha kurusha mpira ndiyo pressure yenyewe
Kilichosababisha yeye kufungisha ni pressure ya mchezoNi Kweli Real Walituzidi Kwa Kila Kitu na Sipingi Mawazo Yako Lakini Ulimtoa Bayern Akiwa Yupo Juu Kwa Stats dhidi ya Real.
Kwahiyo Stats Sio Zinazo-Matter Katika Ushindi.
Ukweli Ni Kwamba Labda Tupe Sababu Za Msingi Za Kutuaminisha Kuwa KARIUS hakufungisha Magoli Mawili Na Kuwawezesha Real Kuwa Mabingwa.
Alikuwa na pressure ya kuwafunga madrid chap chapSio Pressure Kwa Sababu Bado ilikuwa 0 - 0 .
Pressure inakuja Pale umeshafungwa Muda Unaelekea Ukingoni Ndiyo Pressure inakuforce Uanze Haraka ili Ukasawazishe Kama Walivyokuwa Wanafanya Bayern Kwa Real.
Lakini Kwa Karius Wakati Ni 0 - 0 palikuwa Pana Haja Gani Ya Kuforce Kuanza Mpira Fasta?
Hile Mkuu Haikuwa Pressure Bali Ulikuwa Ni Uzembe (Carelessness) Wa Kufanya Haraka Kuanza Mpira Bila Ya Kuangalia Kuwa Benzema Anauvizia.
Kilichosababisha yeye kufungisha ni pressure ya mchezo
Kwakua lilisawazishwa sio?game plan yenu ilkua mmalize mechi mapema ndio maana kipa alkua na wenge hilo.Pressure Ni Goli La Bale Sio la Benzema.
La Benzema ni Totally unacceptable Na Uzembe Wa Kiwango Cha Lami.
Ni kweli maneno yako. Mimi sitaki kumalumu Firminho sababu kubwa wao wamezoea kucheza 3 mbele inampa nafasi ya Firminho kutokaa sehemu moja ana shift pembeni na kati wanabadilisha inakuwa tabu kuwakamata. alipotoka Salah mfumo wa 433 ukawana hauna mbadala ikabidi waende 442 ina maana muda wote anakuwa kati na defenders hiyo sio style ya Firminho. solution ni kuwa na mbadala wa mfumo kama tumeshindwa 433 unaingiza striker. chukulia jana kama tungekuwa na striker wa maana tungemuingiza ili Firmnho acheze kama inside 10. ukweli tunahitaji kikosi kikubwa kidogo ila kipa hapana tumtoe bure aende tu lazima kipa wa Roma au Ath Madrid tumchukue. pamoja na madrid kupress lakini hawakuwa tishio sana chance za wazi maana Ronaldo alifichwa na watoto hata Benzema. tunahitaji ku add 5 players moja ni kipa lazima.Niliwahi Kucomment Mara Nyingi Tu Kuwa Timu Yetu inahitaji Classy Striker wakuweza Kubadilisha Mchezo Kwasababu Tunapomkosa Mo Salah tu Huwa Hatuna Ubunifu Tena Wala Plan B.
Kwasababu Goli la Kwanza la Benzema Ni Kweli Real Hawakulipata Kwa Pressure Yoyote! ilikuwa Ni Zawadi tu.
Lakini Magoli Ya Bale Yote Real Wameyapata Kutokana Na Kutufanyia Pressure Kubwa Kwa Kuwa Muda Mwingi Wapo Golini Kwetu sisi tukiishia Kubutuwa Na Kupoteza Mipira.
Huwezi Kumtoa Mo Salah Kwa Sub Ya Lallana hapa tusidanganyane wala Mtu asilazimishe Kutuaminisha Kuwa Kuumia Mo Salah Hakukua Na Athari! Mwanzoni Nilijaribu Kujiaminisha Kuwa Haina Athari Kwa lengo la Kujishusha Pressure Lakini Ukweli Tumeuona.
Mtazame Firmino baada Ya Kutoka Salah tu Kageuka Mzururaji Kama Panya Rodi.
Tunahitaji Usajili Wa Nguvu Huu Ndiyo Ukweli.
Maumivu ya kichwa huanza pole pole...Hakuna cha Modric wala sijui Casamiro wala sijui Modric wala CR!
Hayo ni majina tu na Liverpool tumepoteza sababu ya kipa mvuta bange wala hamna kingine!