Pia combination ya matip na Lovren haijawahi kupata clean sheet. Klavan akichezaga na lovren huwa wanaelewana sanaaaaa
Leo hata Arsenal tulikuwa liverpool.
Nachunguliaga kimya kimya mkuu furaha zikizid ndo nakuja jamvini mosdef naye kapotea sanaMkuu pole ulipotea kidogo
Ngoja nisiangalie huu mpira nisubirie matokeo tu. Haya mapresha yameshanishinda. Huyu golikipa bora angekaa Juma Kaseja pale langoni.

Rob kwa kweli ni usajili wa maana so far...kamzima Sterling mpaka ndogo akaanza kucheza rafuLeo Chamberlain, Can na Robertson Walikuwa ni Zaidi ya Wachezaji....
Namiminika Machozi Ninapomuona Can anaondoka Bureeeee bila ya Centi 1... Sijui Timu za EPL zinaukakasi Gani kwa kutojitokeza Hata Timu Moja ikapata Mchezaji Wa Bure bila ya Kutoa hela yoyote.
Rob kwa kweli ni usajili wa maana so far...kamzima Sterling mpaka ndogo akaanza kucheza rafu

Ox wa sasa siyo yule wa arsenal dogo hadi ananishtua ... kauli juu ya kuondoka kwa cou kwamba haiathiri timu anaitendea hakiCOUTINHO ALIZANI AKIONDOKA YEYE NDIYO TIMU ITAKUFA??????
Hizi ni Salam Kwa Coutinho! AOC kafunga goli MOJA na Katoa Assist MOJA! Jumla tunasema Kashiriki Katika Magoli MAWILI tena Kwenye Big Match.
Alichokifanya AOC ndiyo kilekile alichokuwa Akikifanya Coutinho! Chenga ni Mbwembwe tu Mwache akapige Barcelona.
PROBLEM SOLVED




Mara ya mwisho huyu jamaa alitupa habari VVD kuja kwetu ndo kapotea mazima mwiteni kokote aliko mchango wake ni wa muhimu sana.Nachunguliaga kimya kimya mkuu furaha zikizid ndo nakuja jamvini mosdef naye kapotea sana
Nashukurun liver, rekod yangu ya unbeaten ibaki milele ,
Lakini bikra imetoka...Mmemtoa bikira lakini mmeng'atwa kishenzi na kukwaruzwa mwili mzima😀😀😀😀😀
Kama alijua hivyo kigeu geu chake kingemponza Leo salah na mane ndo attackers wasumbufu angewaacha tu hadi mwisho tungetoka na goals difference nzuri kabisa halafu salah awe anamwacha hadi dakika 90 angekuwa ana hatrick nyingi tu klop akiona salah kafunga kagoal dakika ya sabini na kitu anamtoa kitendo hiki kinakera sana asaiv angekuwa top scorer kama angekuwa anamaliza DKK 90Kumbe Hapa Ndiyo Anapofanikiwa Klopp: →→ Klopp says he felt only way to beat [HASHTAG]#MCFC[/HASHTAG] was to attack. "Need to be brave" -- otherwise you're "standing on the edge of your box" hoping to "win the lottery".