Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool Katika Game 18 zilizopita:

✅ 3-0 Hudd
✅ 3-0 Maribor
✅ 1-4 West Ham
✅ 3-0 Soton
➖ 3-3 Sevilla
➖ 1-1 Chelsea
✅ 0-3 Stoke
✅ 1-5 Brighton
✅ 7-0 Spartak
➖ 1-1 Everton
➖ 0-0 W Brom
✅ 0-4 Bmouth
➖ 3-3 Arsenal
✅ 5-0 Swansea
✅ 2-1 Leicester
✅ 1-2 Burnley
✅ 2-1 Everton
✅ 4-3 City
 
Alex Oxlade-Chamberlain has scored as many goals in 20 Premier League appearances for Liverpool than in his last 71 appearances for Arsenal.

26730893_2027762944167856_4096598408510461616_n.jpg
 
Katika Mtu Mbaya Sana Katika Maisha ya Gurdiola Basi ni KLOPP!! 😀 😀 😀

Yani tokea Gurdiola aanze Ukocha basi Hakuna Kocha Yeyote aliyewahi Kumsumbua Guardiola isipokuwa Klopp!

• Yani Guardiola Alikuwa Na Bayern iliyosheheni Kila Kipaji lakini alishindwa Kutamba Kwa Klopp mwenye Dortmund..

• Sasa hivi Gurdiola ana Mancity Yenye Kila Kipaji pia anashindwa Kutamba Kwa Klopp mwenye Liverpool...

😀 😀 😀 Ama Kweli Kila Mtu Na Mbabe Wake....
 
Katika Mtu Mbaya Sana Katika Maisha ya Gurdiola Basi ni KLOPP!! 😀 😀 😀

Yani tokea Gurdiola aanze Ukocha basi Hakuna Kocha Yeyote aliyewahi Kumsumbua Gurdiola isipokuwa Klopp!

• Yani Gurdiola Alikuwa Na Beryan iliyosheheni Kila Kipaji lakini alishindwa Kutamba Kwa Klopp mwenye Dirtmond..

• Sasa hivi Gurdiola ana Mancity Yenye Kila Kipaji pia anashindwa Kutamba Kwa Klopp mwenye Liverpool...

😀 😀 😀 Ama Kweli Kila Mtu Na Mbabe Wake....

Guardiola

Bayern

Dortmund
 
Huyo akikutana na timu za kushambulia huwa hachomok hata wenger wale madogo wangekuwa hawamvurug anamsumbuaga sana.
 
Kiukwel jana emre can alikuwa anatembea na de bruyne mwanzo mwisho na ndio maana mpaka can anatoka de bruyne alikuwa hachezeshi vzr Kama ilivyo kawaida yake Zaid ni ngoz yake tu ndio ilikuwa inakuwa nyekundu ila baada Jk kumfanyia mapumziko na kumchezesha milner ambae ni force mildfield jamaa alipata nguvu na kuanza kutawala dimba
All in All emre can sio wa kumuachia still we need him anfield
Y.N.W.A
 
Sasa klopp ataalibu moreno akirudi tu atakuwa anampanga moreno ,robertson bench.

Roberton ameanza kupata namba baada ya moreno kuumia
Yaaaaaani hapo ndio Klopp anaharibu...hata Gini atapigwa benchi akipona Henderson...kwa sasa timu imebalance hata jana pengo la Coutino halijaonekana...
 
MosDef you are needed here breh!!

Btw! What a good win.. Sote tunajua Liverpool ndo huwa inaisumbua sana Man city miaka yote.. Mwaka huu ni kwasabab ya zile 5.. But huwa tuko vizuri because wote tunatumia attacking football

Ila 1 special thing.. Klopp apate GK ingekua vizur zaid.. Hatuwez kwende UEFa na hawa goalkeepers
Mignolet( Uzembe mwingi)
Karius(Ana bahatsha)
Ward(asje kumjarbu UEFa.. that is champions league.. not trial place)
kabisa makipa ni mzigo wanavunja morali ya wachezaji wengine....Ward atolewe kwa mkopo huyu ni wa baadae
 
Liverpool Katika Game 18 zilizopita:

✅ 3-0 Hudd
✅ 3-0 Maribor
✅ 1-4 West Ham
✅ 3-0 Soton
➖ 3-3 Sevilla
➖ 1-1 Chelsea
✅ 0-3 Stoke
✅ 1-5 Brighton
✅ 7-0 Spartak
➖ 1-1 Everton
➖ 0-0 W Brom
✅ 0-4 Bmouth
➖ 3-3 Arsenal
✅ 5-0 Swansea
✅ 2-1 Leicester
✅ 1-2 Burnley
✅ 2-1 Everton
✅ 4-3 City
hizo game za draw za West Albion, Everton na Arsenal kwa kweli zilituvurugia point muhimu sana....kwa sasa ni ushindi kwa kwenda mbele
 
Kiukwel jana emre can alikuwa anatembea na de bruyne mwanzo mwisho na ndio maana mpaka can anatoka de bruyne alikuwa hachezeshi vzr Kama ilivyo kawaida yake Zaid ni ngoz yake tu ndio ilikuwa inakuwa nyekundu ila baada Jk kumfanyia mapumziko na kumchezesha milner ambae ni force mildfield jamaa alipata nguvu na kuanza kutawala dimba
All in All emre can sio wa kumuachia still we need him anfield
Y.N.W.A
Kapiga precontract na Juventus
 
"UKIONA ADUI YAKO ANAKUPONGEZA JUA KUNA PAHALA UMEKOSEA"
😀 😀 😀

Tulikosea Sana Jana Kumfunga Man City Kwani tumewafantia Man U & Chelsea Favour bila ya Kukusudia!!!

Jana Man United upande wetu...
Chelsea Upande wetu....

Imekuwa Kama vita Vya Panzi ni Faida kwa Kunguru...

Najua Ushindi wetu Wa Jana Umewapa some Hope Man United na False Hope Kwa Chelsea Ya Kuwa Bado Wana nafasi Ya Kupigania Ubingwa ...
 
Liverpool imewazuia Manchester City katika jitihada zao za kumaliza msimu wa Ligi ya Uingereza bila kupoteza mchezo
Jurgen Klopp amesimamisha utawala wa Pep Gurdiola Premier League, baada ya michezo 30 bila kupoteza mechi hata moja hatimaye hii leo Liverpool wamefanikiwa kuipiga Manchester City bao 4 kwa 3.

Ni Arsenal Mei 2003 hadi Oktoba 2004 na Chelsea Mei2013 hadi Oktoba 2014 (Mechi 40), ndio ambao wamecheza mechi nyingi zaidi bila kupoteza kuliko rekodi hii ya City iliyodumu kuanzia Aprili mwaka jana.
Baada ya matokeo ya leo sasa Liverpool wanakuwa wanaendeleza rekodi yao ya kutofungwa na Manchester City katika uwanja wao wa nyumbani na kufikia mechi 15, idadi kubwa zaidi kwa City kutopata ushindi kwa timh moja ugenini.

Kabla ya hapo Arsenal walipoteza mchezo dhidi ya FC Bournamouth, mchezo wa leo ilikuwa mechi ya kwanza kwa Bournemouth kuipiga Arsenal katika michezo yao 6 iliyopita na hii ikiwa mara ya kwanza kwa Bournemouth kupata alama mbele ya timu top 6.
Kwa matokeo ya leo msimamo wa ligi umebadilika katika nafasi nne za juu ambapo sasa Liverpool wamepanda hadi nafasi ya tatu ya msimamo huo wakiwa na alama 47 huku wakiwazidi Chelsea kwa tofauti ya mabao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom