Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

COUTINHO ALIZANI AKIONDOKA YEYE NDIYO TIMU ITAKUFA??????

Hizi ni Salam Kwa Coutinho! AOC kafunga goli MOJA na Katoa Assist MOJA! Jumla tunasema Kashiriki Katika Magoli MAWILI tena Kwenye Big Match.
Alichokifanya AOC ndiyo kilekile alichokuwa Akikifanya Coutinho! Chenga ni Mbwembwe tu Mwache akapige Barcelona.

PROBLEM SOLVED
 
f8a0849f3963c853789cdedc3b079e9a.jpg
 
kama kuna mtu alimuangalia ROBERTSON leo anyooshe mkono.......

''That man was the beast today''


Leo Chamberlain, Can na Robertson Walikuwa ni Zaidi ya Wachezaji....
Namiminika Machozi Ninapomuona Can anaondoka Bureeeee bila ya Centi 1... Sijui Timu za EPL zinaukakasi Gani kwa kutojitokeza Hata Timu Moja ikapata Mchezaji Wa Bure bila ya Kutoa hela yoyote.
 
Halafu Raheem Sterling asijisumbue Bure kuja Anfield ni bora Abakie Jukwaani tu aangalie Wenziwe!!

Haki Ya Nani Sterling Ndani Ya Anfield Mpira Hauchezi Hata Siku Moja Jinsi Mashabiki Wa Liverpool Walivomchukia...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom