Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Wakuu Beki Hatuna Hata Kidogo naona Matip nae Kawa Uchochoro flani hivi
Tatizo kwa mechii yenu ya leo ni pale kiungo kilipopata tabuu kidogo ...sub ndo tatizoWakuu Beki Hatuna Hata Kidogo naona Matip nae Kawa Uchochoro flani hivi
Waambie wakupe serengeti light 10 hapo fasta, Liver wametupa raha leo toka ligi ianzeNipo mpwa. Kheri na kwako pia.
Hawa Liver wanataka kuniua kwa presha.
Angalau wameamka sasa napata faraja. Ahsante Firmino... Ahsante Mane
kazi imefanyika nzuri sanaa...Man city hatimae wamefungika ndani ya AnfieldTuungane kushangilia vijana wetu wanapambana!
BarcaWho needs Coutinho?
Hata mimi, hadi mda huu yanauma, na sitombi leo,Kuanzia goli la tatu la man city mpka mpra unaisha nilikua nimeshikilia mapmbu dah klop sub zako mungu anakuona!
Zingeongezwa dk 6 tu ngoma ingeisha 4:4 au zaidiKuanzia goli la tatu la man city mpka mpra unaisha nilikua nimeshikilia mapmbu dah klop sub zako mungu anakuona!
yaani Mimi nilikuwa hali mbaya hizo sub zingine bana dah...anyway ynwa kopsHata mimi, hadi mda huu yanauma, na sitombi leo,