Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,571
- 21,531
L
Liverpool jiangalieni
Liverpool jiangalieni
L
Liverpool jiangalieni
Mpira wa ajabu sana, mi arsenal nilikiwa nashangilia liver kama mjinga na mwishoni kama nilimwagiwa maji, nimebana kete.Daaaah maisha ya mpira bna Ni nouma yaani pengo la coutinho linaonekana Arsenal badala ya Liverpool*![]()
Hahahah pole sana ile faulo nilifumba macho kabisa nilivoona hawajashangilia raia ndo nikacheki slow motion zile jinsi kun alivokosa kile kichwa!Hata mimi, hadi mda huu yanauma, na sitombi leo,
Mmemtoa bikira lakini mmeng'atwa kishenzi na kukwaruzwa mwili mzima😀😀😀😀😀Yote in Yote Man Shit tumeshamkata Bikira 😀 😀 😀 😀
Huyu kocha bange sijui anavuta za wapi bola aache tu.Tatizo kwa mechii yenu ya leo ni pale kiungo kilipopata tabuu kidogo ...sub ndo tatizo
Kwa nini asilaumiwe?Tusimlaumu kipa wetu tafadhali!
Tukae hapa tushangilie ushindi wetu!City kakaa Anfield
Huyu kocha bange sijui anavuta za wapi bola aache tu.
Can ndo alikua kilakitu leo hafu anamtoa
Hapo ndo kaniachaa hoiii nikajiulizaa alikuwa anachatiii na wenger kumpa mbinu auHuyu kocha bange sijui anavuta za wapi bola aache tu.
Can ndo alikua kilakitu leo hafu anamtoa

Daaaah maisha ya mpira bna Ni nouma yaani pengo la coutinho linaonekana Arsenal badala ya Liverpool*![]()
Haaahaaa. Klop atatuuaHapo ndo kaniachaa hoiii nikajiulizaa alikuwa anachatiii na wenger kumpa mbinu au![]()
![]()
![]()
![]()
Hapo ndo kaniachaa hoiii nikajiulizaa alikuwa anachatiii na wenger kumpa mbinu au![]()
![]()
![]()
![]()
itakua noma sanaKabisa mkuu yaani kawachukulia poa sana hawa jamaa wkt dakika 6 wangeona na point 3 hawa man ctyZingeongezwa dk 6 tu ngoma ingeisha 4:4 au zaidi