Angalau rekodi yetu arsenal ya invincible itaendelea kuwa untouched!!
Muwaachie 3, nne sasa!Basi tutawaachia watufunge 3 kwa 2 zetu ili wavunje rekodi yenu 😀 😀 😀





Barca. Not Liverpool...Who needs Coutinho?
Leo niko na furaha sana. Hapa nilipakimbia naona nimelazimika kurudiNdugu zanguni tupo pazuri!
Tuzidi kushikamana
Rotation. Makipa wote wabovu.Hata Ivo mzuri.Katuangusha, maamae