Hubby material
Member
- Jun 15, 2017
- 46
- 40
We won without him
We dont have a time for that!Kwa nini asilaumiwe?
Daaah!Huyu kocha bange sijui anavuta za wapi bola aache tu.
Can ndo alikua kilakitu leo hafu anamtoa
Aibu yako!Zingeongezwa dk 6 tu ngoma ingeisha 4:4 au zaidi
Aibu yako!
Tumepiga huyo self claimed God of football!
Mpira dakika 90 na nyomgeza zake,haya mengine sijui zingeongezwa ingekuwa hivi ni upuuzi mtupu!
Tumepiga Man City na inabaki hivyo
Nani alipaki basiPark the bus
Hahahaahaa jipe moyoZingeongezwa dk 6 tu ngoma ingeisha 4:4 au zaidi