SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Kipa katuangusha
Katuangusha, maamaeBaada Ya Makosa Ya Mignoleta Kupitiliza Kiwango Klopp leo Officially ameamua Kumtangaza Loris Karius Kuanza Kumueka Golini na atamuangalia Kama ataperform Vizuri Mechi ya leo tu basi Ataendelea Kukaba Golini Kama Kipa Namba 1 Wa Liverpool.
Klopp explains Karius selection against Man City
Babu upo? Kheri ya mwaka mpya mpwaNgoja nisiangalie huu mpira nisubirie matokeo tu. Haya mapresha yameshanishinda. Huyu golikipa bora angekaa Juma Kaseja pale langoni.
mkuu ungejua dua iliopomoyoni mwangu ?umekosea njia , pole
Nipo mpwa. Kheri na kwako pia.Babu upo? Kheri ya mwaka mpya mpwa