Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Lakini kazungumza ukweli.It doesn't matter about his feelings!!


Tatizo Ni Kwamba Munauangalia Mpira Kama Mke au Mume!!!!

Wewe Unasema Keita hawezi Kumreplace Coutinho! Kwani Yeye Mwenyewe Coutinho Kanunuliwa amreplace nani???
Kwani Ni nani Aliyetegemea Kuwa Mo Salah
atakujakuwa Star Kama Alivyosasa?
Ni Nani aliyetegemea Kuwa Suarez baada ya Kununuliwa Liverpool atakuwa Star kama alivyokuwa Liverpool??

Uwezekano Mkubwa Upo Keita akajakua Much better than Coutinho!
Unajua Mpira Ni Biased kwa baadhi ya Washabiki! Coz Mo Salah Msimu huu Amefanya Makubwa Mara 300 Kuliko Coutinho! Lakini still Munajifanya Kumfumbia
Macho na Mukam-Exaggerate Coutinho tu..

Sisi Hatuangalii Uchezaji Wa Mtu Bali Tunaangalia Ni Nini Anachokifanya Uwanjai! Wakati Keita Anatackle vizuri, AnaAssist Vizuri may be 20 per Year, Na Anascore May be 14 per Year! Utasemaje Kuwa Hawezi Kumreplace Coutinho kisa tu eti hapigi Chenga Kama Coutinho??

Kuweni Fair bhana Kama Humjui Keita download Japo Clips Zake YouTube uone umahiri wake uwanjani...

Sisi Liverpool Wachezaji Wetu Hatuwategemei Kwa Viwango Vyao tu! Bali na Mfumo pia Huwabeba na ndiyo tunaotegemea.

Hata Gini na Can Wanaweza Kucontrol Central Midfield na Pengo la Coutinho lisionekane Kama ilivyokuwa Mwanzo Wa Msimu huu.

Danny Murphy Ni Kasumba tu alizonazo kwa Kucritisize Kila linalofanywa.
 
Bobby ni jembe usipime.
I tell you Klopp angeambiwa achague amuuze nani kati ya Bobby na Coutinho, angemuuza Coutinho!

Roberto Firmino has been directly involved in more goals in all comps for Liverpool under Jurgen Klopp than any other player – 64 (39 goals, 25 assists)
pamoja na Coutinho msimu huu kuwa kwenye kiwango kikubwa kuliko misimu yote aliyocheza LFC, bado total goals + assists kwenye EPL msimu huu yupo ngoma sawa na Bobby....which speaks volumes on Bobby's consistency.

Coutinho - 7 goals + 6 assists = 13-goal involvement

Firmino - 9 goals + 4 assists = 13-goal involvement
 
Huyo Mkuu Ladder 49 Hapo juu Amemaliza Kila Kitu!
Ni Kweli Klopp Hanunui Mchezaji Kwa Kumreplace Fulani!! Bali ananunua Kwa Kuimarisha Mfumo Wake na Ndiyomana Wengi Walishangaa Kwanini amemnunua Chamberlain Kwa Pesa Nyingi £35m!!!
Lakini Ni wazi Kuwa Klopp Kaona anafaa katika Philosophy Yake..

Huwezi Ukamreplace Mchezaji Bali unaboresha Position ya Mchezaji.
 
Huyo Mkuu Ladder 49 Hapo juu Amemaliza Kila Kitu!
Ni Kweli Klopp Hanunui Mchezaji Kwa Kumreplace Fulani!! Bali ananunua Kwa Kuimarisha Mfumo Wake na Ndiyomana Wengi Walishangaa Kwanini amnunia Chamberlain Kwa Pesa Nyingi £35m!!!
Lakini Ni wazi Kuwa Klopp Kaona anafaa katika Philosophy Yake..

Huwezi Ukamreplace Mchezaji Bali unaboresha Position ya Mchezaji.

Well said mkuu umeiweka simple and clear
 
Tuweni serious na Ushabiki wetu! Kama Mpaka Leo unaweweseka Kuwa Klopp anunue Mchezaji Wa Kumreplace Coutinho basi utasubiri sana coz Dunia Nzima Huwezi mpata Mchezaji Huyo labda Ukamnunue [HASHTAG]#Messi[/HASHTAG] au [HASHTAG]#Neymar[/HASHTAG].

Lakini Ukitaka Mchezaji ambaye anamatch na Mfumo Wa Klopp basi Lemar, Goretzka, Mahrez, Draxler na
Keita na Lallana Wote Hawa Wanaweza Kutuletea Kile au Zaidi ya Alichokiacha Coutinho Kwani Mfumo Wa Klopp Ni Teamwork tofauti na Wa Zidane au Barcelona unaotegemea Kipaji Cha MtuMtu mmoja mmoja.

Na Hii January Sidhani Kama Kuna Timu itakayouza Mchezaji wake! Kwahiyo Ondosha Ndoto Zako Za Kupata Mchezaji unayemtaka!!
Tusubiri Summer Ndiyo Klopp Wanaweza Kuwapata Wachezaji anaowataka.
 
Ni Muda Wa Kufocus forward sasahivi! So muda tena Wa Kumdiscus Coutinho Kwani Now he has nothing to with Liverpool!! He Just Went to Barca and soon He will want to go PSG coz money is his ambition.

Ni bora tukaendelea Kuwajadili Wachezaji Wetu tulionao na si Mtu Aliyetuacha Mkono Kwa Dharau kufikia Mpaka Kufabricate Fake injury mwanzoni Mwa Msimu ili kushinikiza auzwe wakati akiwa anazunguka na Timu Yake Ya Taifa.

STOP TALKING ABOUT COUTINHO, HE IS IN THE SAME BOAT AS STERLING, TORRES & MASCHERANO.
 
Ni Muda Wa Kufocus forward sasahivi! So muda tena Wa Kumdiscus Coutinho Kwani Now he has nothing to with Liverpool!! He Just Went to Barca and soon He will want to go PSG coz money is his ambition.

Ni bora tukaendelea Kuwajadili Wachezaji Wetu tulionao na si Mtu Aliyetuacha Mkono Kwa Dharau kufikia Mpaka Kufabricate Fake injury mwanzoni Mwa Msimu ili kushinimiza auzwe wakati akiwa anazunguka na Timu Yake Ya Taifa.

STOP TALKING ABOUT COUTINHO, HE IS IN THE SAME BOAT AS STERLING, TORRES
& MASCHERANO.
Mapema mmeshaanza kumtukana,kachukueni vijana kwenye academy yenu (Southampton) muwatengeneze
 
Van dijk pesa inaongea.. Jamaa has been dreaming for.Liverpool .... He is in the right place..
Ka link up vizur

We all know merseyside derby n ngumu sana. so sitegemei mtu kudai leo clean sheet.. Cha msingi n hii win

Ila klopp ajfkrie tena.. Hawa Goalkeepers sio wa kwenda nao Champions League.. wanadaka kwa kubahatisha.. its a fact
Yaani wakiwa na clean sheet hatukushambuliwa kabisaa !
 
Mapema mmeshaanza kumtukana,kachukueni vijana kwenye academy yenu (Southampton) muwatengeneze


Belo Naona Mumehamia Kwenye Visasi Sasa Mumeamua Kujibu Mapigo Kwa Kuwakomo Sevilla Kwenye Ticket! 😀 😀 😀
 
Kataka yeye mwenyewe kuondoka so kufanya kazi na mtu ambae hayuko radhi na Kaz hiyo ni ujinga mjomba

Afuu Cha pili ushabik sio swal la juu juu ushaona eeh na ndio maana mpak leo hii zipo timu za kijinga na watu wanashabikia dadika
Kama Newcastle, Tottenham, Nottingham Forest, Westham, PSV, Ajax, Porto, Benfica, Feyenoord, AC Milan, Deportivo la Coruna au Marseilles bado zina washabiki tena wengi kupita wa ManCity au Chelsea
Tatizo liko wapi kwa Liverpool kuwa na fans?
Mlioanza kuangalia mpira baada ya ITV DTV ama Supersports mna tabu sana
 
Kabla Ya Lallana Kuwa full fit basi Hapana Shaka hii ndiyo itakuwa FXI yetu Ambayo Ni Powerful kuliko baadhi ya Mashabiki Wanavyofikiria!
Lallana akiwa Fiti kikamilifu basi ataingia Katika FXI na AOC atakaa Sub hapo Ndiyo tutaweza Kumteremshia Tsunami Kila anaetusogelea.


IMG_20180110_202947.jpg
 
Kabla Ya Lallana Kuwa full fit basi Hapana Shaka hii ndiyo itakuwa FXI yetu Ambayo Ni Powerful kuliko baadhi ya Mashabiki Wanavyofikiria!
Lallana akiwa Fiti kikamilifu basi ataingia Katika FXI na AOC atakaa Sub hapo Ndiyo tutaweza Kumteremshia Tsunami Kila anaetusogelea.


View attachment 672620

Sioni tatizo lolote hapo zaidi Ya kipa tu
Hicho kikosi Ni poa sana
 
Naby Keita: Of the 49 players to
attempt 30 or more dribbles in the
Bundesliga this season, Keita has
the best dribble success rate
(64.8%)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom