Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Coutinho Mpaka Anatia Saini Mkataba Wa Kujiunga Na Liverpool Hakuna Mtu Aliyekuwa Akimrate Kwani Hakuwa na Kiwango Chochote Cha Maana Kinachotambulika Baali Alikuwa Ni Mchezaji Wa Mikopo tu...

Mpaka Pia Nimegundua Ulikuwa Humjui Coutinho.

Tuishie Hapa. Ova
Nilikuwa nafatilia almost kila mechi tangu 2007
 
Aondoke tu hakuna jinsi most south American players wako hivyo wakiskia Barca au Madrid wanachizi kabisa tutazame mbele tutamtengeneza mtu mwingine zaidi yake hata yeye alipotoka Inter hakuwa alivyo sasa
 
Wakuu, hii mechi yetu ya leo na Everton itaonyeshwa na supersport kweli? Na kama itaonyeshwa, wamesema ni channel ipi?
 
3cdd948f54e7fcd7ee04ac9ee4344e16.jpg

Kwa sasa hata kuvaa jezi ya Liverpool huogopi!JK kanitendea haki sana na progressive naiona
Nampiga Man City,nampiga Porto away and home
 
Leo inatosha Klopp Kuwachezesha Kina Solanke, Grujic, Woodburn, Chamberlain, Ings, Karius na U23....
Haina Haja Ya Kuwachezesha FXI yetu ya Senior Team Hata mmoja Katika Hii Micky Mouse Cup ya FA.
Klopp aache Wachezaji Wapumzike ili Siku ya Man City Wachezaji Wawe fiti Hakuna Rotation yoyote.
Tukitolewa Micky mouse hamna tatizo.
 
Kwa hili hapana ... we need to be real, Trophy is trophy
 
Wakuu Mimi Leo Sipo Free Sana Kwahiyo Sitoangalia hii Micky Mouse Cup! Mutakaoangalia Tupeni Update ya Performance ya VVD ikoje.
 
Frankly speaking VVD yupo vizuri naamini wakicheza mechi mbili tatu hivi na matip watatengeneza combination moja nzuri sana
 
Van dijk pesa inaongea.. Jamaa has been dreaming for.Liverpool .... He is in the right place..
Ka link up vizur

We all know merseyside derby n ngumu sana. so sitegemei mtu kudai leo clean sheet.. Cha msingi n hii win

Ila klopp ajfkrie tena.. Hawa Goalkeepers sio wa kwenda nao Champions League.. wanadaka kwa kubahatisha.. its a fact
 
Mignolet na Karius wanabahtsha sana

This two guys will cost us in future

Klopp kama hatak kusajl Dm. na Can huyu naona ana link up na juventus..Naona ka tunarud matatizon tu..

Depth inapungua.. Wijnaldum anaumiaga anytime. though fitness yake inawah sana

But katika hizi two cups zilizobak + kugombania top 4.. A strong team is needed
 
Van dijk pesa inaongea.. Jamaa has been dreaming for.Liverpool .... He is in the right place..
Ka link up vizur

We all know merseyside derby n ngumu sana. so sitegemei mtu kudai leo clean sheet.. Cha msingi n hii win

Ila klopp ajfkrie tena.. Hawa Goalkeepers sio wa kwenda nao Champions League.. wanadaka kwa kubahatisha.. its a fact
Nimeangalia mechi nyingi ila hawa makiwa hawawez kuserv tim
Ni kipa lets say asilimia 40 yaani chini ya kawaida
Yan wanaweza wakadaka mpira unaowafata pekee ila ukisogea pemben kidogo wanakuwa mashuhuda
Atleas mignolet ana asilimia50
Ila wote ni buree
 
I think sasa ni muda wa sisi mashabik kujidai ila jk anatakiwa aongeze viungo zaid maana kucheza UEFA afuu tunategeme kiungo mmoja ni kosa kubwa pia bila kusahau gini hayupo fom kabisa since majeruhi yampate
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom