Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sidhani Kwa Wale Wanaosema Lemar hawezi Kuziba Pengo la Coutinho Kuwa Wapo Sahihi!!!
Kiukweli Hakuna Mchezaji anaeweza Cheza Sawa Na Mchezaji Mwengine!!!
Lakini Mchezaji anayeweza Leta Yale Aliyokuwa Akiyaleta Mchezaji Mwengine Yupo.

As Attacking Midfielder tunahitaji Kuwa na uwezo Wa Kucheza kama Playmaker, Creator, Kutoa Zile Assists Na Kufunga Some Goals (Sifa hizi Zote Lemar anazo)...

Lakini Kumpima Mido Kwa Kupiga Zile Dribbles nyingi basi waweza sema Kweli Lemar Hawezi Ziba Nafasi Ya Coutinho...

Kuziba Pengo la Mchezaji si Lazima Uwe Na Uwezo Kama Mchezaji Huyo! Bali Ni Kufanya Vitu Sawa au Zaidi Ya Anavyovifanya Mchezaji Huyo...

Mimi Naamini Lemar anaweza Fanya Kile Kinachohitajika Kikawa Ni Sawa au Zaidi Ya Coutinho...
Lakini iwapo tu kama tutacount kile anachopaswa Kufanya Kama Score, Assists and Playmaker.

Ikiwa tutahesabu Kupiga Chenga Nyingi basi Hapo hatutapata Mbadala Wa Coutinho.
Huyu Lemar habari zake zikoje as per now?
Natamani sana aje huyu kijana...
 
Ni vicious cycle hata hao kina Keita,Salah,Mane wataondoka na utasema hakuna pengo wameacha,Coutinho anaondoka akiwa tayari amesha-mature tofauti na misimu yote aliyocheza angalia statistics zake kosa ni kumuuza katikati ya msimu while ni ngumu kupata replacement

Ninachoamini Mimi Whether tungekuwa Na Coutinho au Hatuna Coutinho Basi Liverpool isingeliweza KUSHINDA MICHEZO YAKE YOTE wala isingeliweza KUFUNGWA MICHEZO YAKE YOTE...

Kwahiyo Ni Lazima Liverpool Michezo Mengine itafungwa, itadraw Na Mengine itashinda..

Lakini Ninachokiona Hapa si Jengine Bali Ni DOUBLE STANDARD au HYPOCRISY... Kwani SikuSiku tutakayo DRAW au KUFUNGWA basi Watajitokeza Watu Na Kusema "MUNALIONA HILO PENGO LA COUTINHO? Lakini Siku Tutakayokuja Kushinda basi WATANYAMAZA KIMYA BILA YA KUCOMMENT CHOCHOTE...!

Mimi Katika Timu Yetu Ninamuona Kocha Katika TACTICS tofauti yangu Na Kocha Ni Kwenye KUSAJILI Na LINE-UP tu.. Kwahiyo Naamini Kabla ya Kumuuza alishaandaa Mfumo Wa Kuzima athari atakayoiacha Kwani alijua fika tu Kuwa Ni Lazima ataondoka....

So, Ni Mfumo Ndiyo utakaoziba Pengo lake na wala si Mchezaji maalum ambaye ana Kipaji Maalum...

Kumbuka Kuwa Tulimfunga ARSENAL 4 Kwa 0 bila ya kuwemo COUNTINHO uwanjani, na Tukafungwa 4 na Spurs Tukiwa tuna COUTINHO uwanjani..
 
Its almost 30 years now You Never Won Anything, kama unatengeneza wachezaji then wakifika kwenye peak unawauza its OK but huwezi shinda chochote

CR7 alishinda every domestic Cup akiwa United alivyotaka kuondoka ilikuwa sawa the same to Neymar pale Barca Coutinho possible huu ndio ungekuwa msimu wake bora kuchezea Liverpool

Maranyengine Unapoandika Uwe SPECIFIC ili ujuilikane kama ni EPL venginevyo utakuwa Compulsive Deluder Kwani "ANYTHING" inamaana pana.
Coz ndani ya Miaka 30 tmeshinda UEFA CHAMPION LEAGUE, UEFA EUROPER LEAGUE, EUROPER SUPER CUP na Several MICKY MOUSE CUPS kama
(FA, CARLING CUP, CHARITY SHIELDS e.t.c.).
 
Huyu Lemar habari zake zikoje as per now?
Natamani sana aje huyu kijana...

Lemar Ndiyo iliyokuwa Target Kubwa ya Liverpool lakini Hakuna uwezekano wowote Wa Kuja Liverpool Katika Mwezi huu Wa January Kwani Clubs za wenzetu Ni Tofauti na Liverpool Kamwe Haziuzi wachezaji Wao Katikati ya League.
Labda Tusubiri Labda twaweza Mpata Next Window (Summer).
 
Naona klopp ameamua anataka kumleta naby keita mwez huu huu na sio dirisha lijalo

Nabby Keita Hawezi Kuja Liverpool Mwezi huu Wa January! Timu Yake imekataa Mazungumzo yoyote Yanayomuhusu Nabby Keita Kuja Liverpool Mwezi Wa January
 
wakuu kwa Januari hii binafsi ningependa kuona Klopp akimsajili Lianzini wa Westham, kipa wa uhakika na strika mmoja pengine Surez arudi..
Maana hii pesa ya C10 isipotumika vzuri kwa kweli hata Klopp atachomoka

January hii haina Haja Ya Kusajili Mchezaji Yeyote! Kikosi Tulichonacho Hakihitaji Midfielder Mpya Kwa Sasa.. Hawa Hawa Kina GINI, LALLANA, CAN na AOC wanaweza Kucheza Na Timu Yoyote Na Tukashinda! Muhimu Kocha tu Awe na Maamuzi Yenye Tija na si personal emotion..

Mabadiliko Yanayohitajika Katika Timu Yetu Ni Mawili tu..

1) KIPA

2) STRIKER

Yaliyobakia Yote Ni Mbwembwe tu.
 
Watu Wengine Mujue Kupuuzwa!!! Si Lazima NiwaQuote musilazimishe.

Nawashangaa Sana Mashabiki Wa Arsenal Kushadidia na Kulala Katika Uzi Huu Kisa Kauzwa Coutinho!!!!
Hivi Munahisi Kuuzwa Kwa Coutinho Ndiyo Mutasalimika na Zile NNE NNE tunazowatandika kila Msimu???

Nadhani Mumeshasahau
Kuwa Msimu huuhuu huu Tuliwatandika 4 - 0 bila Ya Kuwemo Coutinho! Kwahiyo Kuwaadhibu Arsenal Hatuhitaji Coutinho Hata Mwinyi Kazimoto anatutosha Kumpigia 4 Arsenal.

IMG_20180108_164714.jpg
 
Ukumbusho tu! FC PORTO imeshinda Michezo Yake Yote 8 iliyopita na Kufunga Magoli 29 Katika Mashindani Yote aliyoshiriki.
So, Liverpool tuwe makini.

Watu Wengine Mujue Kupuuzwa!!! Si Lazima NiwaQuote musilazimishe.

Nawashangaa Sana Mashabiki Wa Arsenal Kushadidia na Kulala Katika Uzi Huu Kisa Kauzwa Coutinho!!!!
Hivi Munahisi Kuuzwa Kwa Coutinho Ndiyo Mutasalimika na Zile NNE NNE tunazowatandika kila Msimu???

Nadhani Mumeshasahau
Kuwa Msimu huuhuu huu Tuliwatandika 4 - 0 bila Ya Kuwemo Coutinho! Kwahiyo Kuwaadhibu Arsenal Hatuhitaji Coutinho Hata Mwinyi Kazimoto anatutosha Kumpigia 4 Arsenal.

View attachment 671076
Juzi tulikuwa tunakulaza bila coutinho ww.Usikimbilie nyuma sana wakati kipute kilipigwa juzi....
Halafu coutinho si yupo Liverpool halafu Roberto 20 kafa sindiyo???
Siku nyingine utakufa ww kuwa makini ndugu..
 
Tetesi

Liverpool watajaribu kumleta kiungo wa kati wa RB Leipzig na Guinea Naby Keita Anfield na wana nia ya kulipa zaidi kumpata mchezaji huyo wa miaka 22 mwezi Januari. (Telegraph)
 
Tetesi

Liverpool wanamtaka mshambuliaji wa Monaco na Ufaransa Thomas Lemar, 22, kuchukua mahala pake Philippe Coutinho - na wanataka kufanya hilo wiki hii. (Mirror)
 
January hii haina Haja Ya Kusajili Mchezaji Yeyote! Kikosi Tulichonacho Hakihitaji Midfielder Mpya Kwa Sasa.. Hawa Hawa Kina GINI, LALLANA, CAN na AOC wanaweza Kucheza Na Timu Yoyote Na Tukashinda! Muhimu Kocha tu Awe na Maamuzi Yenye Tija na si personal emotion..

Mabadiliko Yanayohitajika Katika Timu Yetu Ni Mawili tu..

1) KIPA

2) STRIKER

Yaliyobakia Yote Ni Mbwembwe tu.
mkuu hii rotation ya Klopp kwa zile mechi mbili..mechi ya Everton na Westbrom ndio zimeharibu mipango...
Klopp akiedelea na hizi emotion zake kuchagua kikosi atatuchanganya sana hata hii big four twaweza kuichungulia kwa tochi...
 
HAYA NI MAWAZO YANGU BINAFSI
Nimekuwa Nikiwaza Siku Nyingi Tokea Aliponunuliwa AOC
Kuwa Hivi Ni Kweli Klopp Katoa Katoa £35m Kwa Benched Player?

Sasa Nimepata Jibu Kuwa tokea Last window Coutinho alipoSubmit Transfer Request Klopp alijua Wazi Kuwa Coutinho Ni Lazima Ataondoka...

Sasa Akakimbilia Faster Kumsajili AOC kama temporary replacement in case Coutinho ataondoka January.

So, itakuwa Ni Ajabu Kwa Mtu kama Klopp Kutoa £35m Kwa Mchezaji Kuja Kumueka Benchi!! Lakini Ukweli Ni Kwamba AOC ndiye replacement ya Coutinho.

Kilichobakia Tumuunge Mkono Kocha na Tumsaport AOC iwapo atapewa Nafasi.
Kwani Naamini iwapo atapewa Nafasi ya Kutosha basi ataweza at least Kutupa Kile tunachokitaka.
 
Watu Wanatucheka Sana Kwa Kuuzwa Coutinho! Lakini Wanamcheka Mamba Kabla Hawajavuuka Mto...

WAJUE REAL MADRID ANAWASHA GREEN LIGHT KWA EPL

• Real inamaliza Msimu bila Kombe lolote
• Ronaldo Anazeeka Anahitaji Replacement
• Bale Kashaflop anahitaji replacement
• Benzema Kesha Anahitaji replacement
• Kipa Wao Hawamuamini
• Barca Kumchukua Coutinho Wanahisi Ni Pigo KwaoKwao

Sasa Watambue Kuwa Kuna Wachezaji EPL wapo Katika Target Zao na Ukweli Ni Kwamba Real anapohitaji basi jibu Ni "YES BOSS".
 
HAYA NI MAWAZO YANGU BINAFSI
Nimekuwa Nikiwaza Siku Nyingi Tokea Aliponunuliwa AOC
Kuwa Hivi Ni Kweli Klopp Katoa Katoa £35m Kwa Benched Player?

Sasa Nimepata Jibu Kuwa tokea Last window Coutinho alipoSubmit Transfer Request Klopp alijua Wazi Kuwa Coutinho Ni Lazima Ataondoka...

Sasa Akakimbilia Faster Kumsajili AOC kama temporary replacement in case Coutinho ataondoka January.

So, itakuwa Ni Ajabu Kwa Mtu kama Klopp Kutoa £35m Kwa Mchezaji Kuja Kumueka Benchi!! Lakini Ukweli Ni Kwamba AOC ndiye replacement ya Coutinho.

Kilichobakia Tumuunge Mkono Kocha na Tumsaport AOC iwapo atapewa Nafasi.
Kwani Naamini iwapo atapewa Nafasi ya Kutosha basi ataweza at least Kutupa Kile tunachokitaka.

Pia ukiangalia hizo statistics zinaonesha msimu huu liverpool wamefanya vizur sana bila ya coutinho japo ni mchezaj muhumu ndo mana sikuweza kwa upande wangu kuona pengo la coutinho ndani ya liverpool nafikir salah kafanya kazi nzur mno bila ya huyo hata kama coutinho angeomba kuondoka sifikirii kama january hii wangemuacha aondoke wangemuachia kiangazi.

Screenshot_2018-01-08-21-23-39.png
 
Sioni sababu Ya kusajili mchezaji yoyote hii January labda apatikane kipa mzuri tu au Keita
Kwa kikosi hiki wakiendelea Na hii momentum top 4 is very achievable
Tuombe tu ustaadh Salah au Mane wasiumie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom