Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,814
- 15,558
Draxer na Carrasco wangefaa sana nazaniNi muda wa kumsahau Sasa continh Kama tulivyo msahau Suarez Cha muhimu lemar atue liver finish
Draxer na Carrasco wangefaa sana nazaniNi muda wa kumsahau Sasa continh Kama tulivyo msahau Suarez Cha muhimu lemar atue liver finish
Mkuu kama yawezekana wabebe Carrasco ni mtam sana amewazidi hao woteKlopp ndo aloijenga na ndio atakayeiharibu timu ni muda sasa wa draxler au lemar kutua Liverpool
Katika vitu vinavyo niudhi ni kugoma mchezaji anapotaka kuondoka. Angalia kwa sanchezi akili wala haipo pale.Ishu ya coutinho ilinipelekesha humu daah sitasahau madongo niliyokua napewa na wadau wa liver wasiotaka aondoke.
mmoja hapo sio kabisa...ila wawili ni shwari
Hata lemar ni mtamu ila sizani kama tutampata mtu wa uhakika kwa sasa anaeweza kuziba pengo lake moja kwa mojaMkuu kama yawezekana wabebe Carrasco ni mtam sana amewazidi hao wote
inakera sna mkuu...ila kwa sanchez mpaka inafikilia pale unajiuliza uongozi wanaohusika na mikataba ya wachezaji walikua wnafanya nini...Katika vitu vinavyo niudhi ni kugoma mchezaji anapotaka kuondoka. Angalia kwa sanchezi akili wala haipo pale.
Bola kwa yule anaetaka kuongezewa mshahala waeza kulaumu akiondoka kuliko alie amua kuondoka
naona sky wanasema Mahrez ila lol bado sio level ya huyu namba 10 anaetimukaHata lemar ni mtamu ila sizani kama tutampata mtu wa uhakika kwa sasa anaeweza kuziba pengo lake moja kwa moja
ndogo Carrasco kwa system ya liva mbona ata shine sna tu...yupo vizuri sanaMkuu kama yawezekana wabebe Carrasco ni mtam sana amewazidi hao wote
Stering alikuwa boya aliondoka liver kwa kashfa sanaaa pumbavu huyommoja hapo sio kabisa...ila wawili ni shwari
Pengo hua halibwi mkuu muhimu apatikane mtu atakae mzidi tu hatukutegemea kama Sallah atafikia kiwangu alicho nacho kama Mane angebaki na kiwango chake nazani hali ingekua shwari tuHata lemar ni mtamu ila sizani kama tutampata mtu wa uhakika kwa sasa anaeweza kuziba pengo lake moja kwa moja
Kumganda mchezaji bila kutimiza mahitaji yake ni upuuzi tu.inakera sna mkuu...ila kwa sanchez mpaka inafikilia pale unajiuliza uongozi wanaohusika na mikataba ya wachezaji walikua wnafanya nini...
na hivi hajaifunga liva tangu ahamie kwa waarabu...ndogo kwa kweli aliodoka kwa dharau hata hivyo mkwaja ule ilikua sio haba £49m..Stering alikuwa boya aliondoka liver kwa kashfa sanaaa pumbavu huyo
Labda aongeze kiwango ila kama atakua bei poa ni mzuri kwa kiwango chakenaona sky wanasema Mahrez ila lol bado sio level ya huyu namba 10 anaetimuka
Namba zote za mbele anacheza hafu ana speed nzuri tundogo Carrasco kwa system ya liva mbona ata shine sna tu...yupo vizuri sana
yaani kwa sasa soko la wachezaji hawa chini ya miaka 25 wenye mikataba na timu zao humtoi huko hivi hivi ndio maana hapa Juve wanawai asaini pre contract ili june ajiunge nao...sielewi Liva hawaono potential ya huyu ndugu au ndio KeitaKumganda mchezaji bila kutimiza mahitaji yake ni upuuzi tu.
Emre can aongezewe tu mshahala
Keita huwezi mtumia pekeake Can nimuhimu tu mana ni kiraka piayaani kwa sasa soko la wachezaji hawa chini ya miaka 25 wenye mikataba na timu zao humtoi huko hivi hivi ndio maana hapa Juve wanawai asaini pre contract ili june ajiunge nao...sielewi Liva hawaono potential ya huyu ndugu au ndio Keita
ndogo uchezaji wake sio sharp kama C10...japo yawezekana ndio mfumo wa pale alipo...viatu vya C10 kupatikana wa kuzifaa itachukua muda maana huyo Lemar Monaco wanagoma kuuza labda wapewe ofa ya kutishaLabda aongeze kiwango ila kama atakua bei poa ni mzuri kwa kiwango chake
ndogo na kwa sasa hapati namba Aleti kama zamani...huyu angetufaa sana tu..pamoja na Lucas wa psg japo majeruhi lakini akilindwa kama Chamberlin naamini atatusaidia sanaNamba zote za mbele anacheza hafu ana speed nzuri tu
Keita huwezi mtumia pekeake Can nimuhimu tu mana ni kiraka pia