MORENO vs ROBO
• Moreno: Ana Pace na Ni very Accurate attacking full back! Cross Zake Zinakamilika kwa 90% na Ni mbora Katika Mashambulizi ukimlinganisha na Robertson.
Lakini Katika Kulinda Moreno amekuwa Akifanya Makosa Yenye Kujirudia Mara Kwa Mara yakiwemo Kucheza Careless tackles Katika Maeneo Hatari Yanayosababisha Set-Pieces au Penalty.
Na vile hayuko Makini Katika Kukaba ukilinganisha na Robertson.
• Robertson: Ni Mzuri Katika Kukaba Kuliko Moreno na Huwa Makini anapocheza Tackles Katika Maenero Hatari Kiasi Ya Kwamba sio Maranyingi Kusababisha zile Dangerous Set-Pieces wala Penalty.
Lakini Hayuko Vizuri Katika Kushambulia Kwani Cross Zake hufanikiwa Kwa Asilimia isiyozidi 10%... Pia Hana Pace kama ya Moreno.
MY TAKE: Moreno Ni Offensive Full back, But Robo Ni Defensive Full back.
So, Tunapocheza Na Timu ambayo Inashambulia Zaidi Kuliko Kulinda Kama Man City, Spurs au Arsenal Basi Ni Bora Kumchezesha ROBERTSON.
Lakini Tunapocheza na Timu ambayo inalinda Zaidi Kuliko Kushambulia kama Man U na Baadhi ya Midtable Teams basi Ni Bora Tukamchezesha MORENO.
[HASHTAG]#JustMyOpinion[/HASHTAG]