Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sioni sababu Ya kusajili mchezaji yoyote hii January labda apatikane kipa mzuri tu au Keita
Kwa kikosi hiki wakiendelea Na hii momentum top 4 is very achievable
Tuombe tu ustaadh Salah au Mane wasiumie
Yan wewe uefa ushakubali tumeshindwa mapema, Mimi naona bado tunahitaji kiungo mshambuliaji, mwenye uwezo mkubwa wa kucheza no 10 na kutokea pembeni na awe na uwezo wa kupiga mashuti nje ya box, kupiga faulo ni sifa ya ziada na asiwe amecheza uefa mwaka huu ili tuweze kumtumia. Epl maji yashazidi unga ila uefa hatutakiwi kukata tamaa
 
Sioni sababu Ya kusajili mchezaji yoyote hii January labda apatikane kipa mzuri tu au Keita
Kwa kikosi hiki wakiendelea Na hii momentum top 4 is very achievable
Tuombe tu ustaadh Salah au Mane wasiumie
Salah anarudi Egypt kusubiri world cup by April
 
Yan wewe uefa ushakubali tumeshindwa mapema, Mimi naona bado tunahitaji kiungo mshambuliaji, mwenye uwezo mkubwa wa kucheza no 10 na kutokea pembeni na awe na uwezo wa kupiga mashuti nje ya box, kupiga faulo ni sifa ya ziada na asiwe amecheza uefa mwaka huu ili tuweze kumtumia. Epl maji yashazidi unga ila uefa hatutakiwi kukata tamaa

Timu Yetu inacheza Mfumo Wa 4-3-3 kwahiyo haina Mtu Specific anaesimama Kama Fixed Namba 10 wala Fixed Namba 9.

Bali Tunachezesha Winga mmoja tu Wa Kulia (Mo Salah), Na False Namba 9 anasimama Firmino akiwa Striker lakini Ni more as Midfield than on side position.
Na Namba 10 anaesimama Ni Sadio Mane ambaye Hucheza total Midfielder.
Anapocheza Gini na Can Kwa Wakati mmoja Coutinho Husimama Kama Winga ya Kushoto Kwenye Line-up lakini Uwanjani nayeye Huja Kati Wakawa Midfielders Watatu na Robertson huchukuwa Yeye Majukumu ya Winga Wa Kushoto huku Beki 4 akimsaidia Kuziba Nafasi Yake ya Beki 3.
Hii Ni Kutokana na Mfumo Wa 4-3-3 kuwa Hauruhusu Winga 2 (Kushoto na Kulia) Bali unaruhusu Mido 3 na Washambuliaji 3.

Kwahiyo Hatuhutaji Namba 10 wakati Mane tunae na Lallana tunae.

Ungelisema Striker (Namba 9) hapo Ningelikubali Kwani Tungekuwa na Choice 4 za Mfumo Wa Kucheza.

1) 4-3-3
2) 4-2-3-1
3) 4-4-2
4) 4-5-1

Sasa Kwasisi Liverpool wakati hatuna Real Striker (Natural Namba 9) basi kutokana Na Kuwa False Namba 9 tunalazimika Kucheza 4-3-3 na Hatuwezi Kucheza Mfumo Mwengine wowote hule! Kwani Mifumo hiyo Mengine Ni Lazima Uwe na Real Namba 9 lakini Kwa False Namba 9 kama Firmino ataishia Kuzurura tu Kama Bakayoko.
Huyu Firmino anatakata Zaidi Anapocheza Nyuma Ya Striker Kwani Ni Mzuri Wa Assists Zaidi Kuliko Kufunga.
 
Klopp Kumbe ndiye Aliyewatilisha Jiti Barcelona Kwa Dortmund Baada Ya Kuwapigia Simu Dortmund Kuwa "Mimi Siwauzii Coutinho Kwahiyo Wakija kumfuata Dembele wadaini Hela Nyingi Sana".

Liverpool haijawahi kuwa na kocha na sasa ndiyo ina kocha!
Nina uhakika trophies zitaanza kuja Liverpool
 
Timu ya daraja la chini Yeovil Town imepangwa na Manchester United kwenye raundi ya 4 ya kombe la FA
Timu hiyo ambayo ipo daraja la pili ilifanikiwa kuiondoa klabu ya Bradford City kwa magoli 2-0 wikendi iliyopita na sasa watawakaribisha United kwenye uwanja wao wa nyumbani wa Huish Park mwishoni mwa mwezi huu
Pia klabu nyingine ya daraja la chini ya Newport Country, ambao waliwaondoa Leeds United nao watavaana dhidi ya Tottenham mechi ambayo inatarajiwa kufanyika nyumbani kwa Newport
Aidha Liverpool nayo imepangwa na West Bromwich Albion mechi itakayo pigwa kwenye dimba la Anfield, wakati Chelsea ambaye bado ana mchezo wa marudiano dhidi ya Norwich, anatarajiwa kukutana na Newcastle endapo atashinda mechi ya marudiano
Vinara wa msimamo wa Ligi Kuu Manchester City wao wana msubiri mmoja wapo kati ya Cardiff City au Mansfield Town, huku wababe wa Arsenal klabu ya Nottingham Forest watavaana na Hull City
 
Droo yote ya FA Cup kama ifuatavyo
Liverpool v West Brom
Peterborough v Fleetwood/Leicester
Huddersfield v Birmingham
Notts County v Wolves/Swansea
Yeovil v Manchester United
Carlisle/Sheffield Wednesday v Stevenage/Reading
Cardiff/Mansfield v Manchester City
MK Dons v Coventry
Millwall v Rochdale
Southampton v Watford
Middlesbrough v Brighton/Crystal Palace
Bournemouth/Wigan v Shrewsbury/West Ham
Hull v Nottingham Forest
Newport County v Tottenham
Norwich/Chelsea v Newcastle
Sheffield United v Preston
 
Tetesi

Arsenal na Liverpool wana nia ya kumsaini kiungo wa kati wa Barcelona na Croatia Ivan Rakitic, 29, ambaye anataka kuondoka kufuatia kuwasili kwa Philippe Coutinho. (Diariogol - in Spanish)
 
Tetesi

Liverpool wametupilia mbalia madai kutoka Barcelona kuwa kuuzwa kwa Coutinho kwa pauni milioni 142 kulifanyika baada ya Liverpool kupunguza fedha hizo. (Times)
 
Danny Murphy: Keita isn't the man to replace
Coutinho.. And Firmino isn't a 20-
goal striker
 
Ukishabikia liverpool lazima uumie tu
Tim inamatatizo kibao na bado wanamuuza mchezaji wao wa maana bila kununua replacement
Wamarekani wanachofikiria ni faida tu
Nyie bora muache kuishabikia hii tim
 
Ukishabikia liverpool lazima uumie tu
Tim inamatatizo kibao na bado wanamuuza mchezaji wao wa maana bila kununua replacement
Wamarekani wanachofikiria ni faida tu
Nyie bora muache kuishabikia hii tim
Kataka yeye mwenyewe kuondoka so kufanya kazi na mtu ambae hayuko radhi na Kaz hiyo ni ujinga mjomba

Afuu Cha pili ushabik sio swal la juu juu ushaona eeh na ndio maana mpak leo hii zipo timu za kijinga na watu wanashabikia dadika
 
Danny Murphy: Keita isn't the man to replace
Coutinho.. And Firmino isn't a 20-
goal striker

Danny Murphy ana Bifu la Miaka Mingi na Liverpool hasa pale ilipotokea Rafa Benitez alipotake over from Houllier instead of Alan Curbishley ambaye alimtaka yeye. Also still bitter over being turned down as coach by Rodgers in favour of Gary Mac.
Na vilevile He’s still upset because Rafa got rid of him.

Kwahiyo atapiga Majungu sana tu.
 
Lakini kazungumza ukweli.It doesn't matter about his feelings!!
 
Hamna cha ukweli ni unafiki mtupu.
Naby Keita ni kumreplace coutinho?When was the last time Firmino scored 20+ goals in a single season?Ukitaka uwe Serious title contender na sio Top four ni lazima uwe na 20+ goal striker ilo ukubali ukatae ni fact sasa jamaa kazungumza ivii tunaanza kukumbushia mambo ya kina benitez tena
 
Mkuu wakati phillipe akiwa achezi nafasi yake anachezaga nani? Naona watu wengi wanalazimisha replacement ya phillipe klopp ananunua wachezaji na sio Kwa sababu ya replacement ya mtu fulani hivyo utafeli kama makocha waliopita wanamreplace suarez kwa ballotel,alonso na aquillani.

Keita anakuja kucheza kama walivyokuja wakina gini na sio replacement ya mtu.Keita uwezo wake tunaujua akija atasaidia timu sana tu.

Plan ya klopp ilikuwa hivi baada ya phillipe kutaka kuondoka alikuwa anataka vvd na keita waje Liverpool ndio amuuze phillipe ,vvd ilishindikana ,keita tulifanikiwa

Alikuwa anataka vvd+keita= phillipe na sio man to man

Tuna muona mnafiki dany kwasababu sisi washabiki wa timu tunamuona firmino sio striker yeye analazimisha striker analazimisha mfumo wa 4-5-1 wakumtegemea striker afunge huo mfumo liver hatuna,striker asipofunga anaonekana hakuna anachofanya kama wenzetu kwa rukaku na morata.

Kile anachokifanya firmino cha kuchukua mipira kwa mabeki pale wanapokosea na kutengezeza nafasi inatosha sana.

Mechi 16 zilizopita liver tumefunga magoli 46 ,man city 36 ,barca 36. Kwenye upande wa kufunga tuko vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom