Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

RAKITIC & CAN

Ni Wachezaji Wawili Tofauti Wenye Kucheza Position Tofauti na Wana Majukumu Tofauti.
Bila ya Kueka Biase mbele basi Kila mmoja Namsifia Kwa Kuwa Bora Kwa Position Yake.

EMRE CAN
Ni natural DEFENSIVE MIDFIELDER ambaye Ana Sifa kuu Kama Vile:

I) Ni Destroyer
II) Anacheza Box-2-Box midfielder
III) Holding midfielder
IV) Not Good enough Creative Midfielder
V) Pace
VI) Not injury Prone
VII) Young boy

IVAN RAKITIC
Ni natural Central Midfielder ambaye anasifa Kuu kama vile:

I) Creative Midfielder
II) Holding Midfielder
III) Can't blay Box-2-Box
IV) Pace
V) Not destroyer
VI) Age problem
VII) About injury not too bad.

Kwahiyo Hapo Kila mmoja Ni Mzuri Kuliko Mwenziwe Kwa Sifa Zake na Position anayocheza!
Messi Ni Mzuri Lakini Ubora Wake Huwezi Mlinganisha na UMTITI.... Katika Position ya Ulinzi basi Umtiti atakuwa Bora Kuliko Messi.
Mkuu hatutaki wazee
Hilo garasa libaki huko huko Barca
 
usajili wa keita na VVD jumla yake ni paund mill 125..huku countinho akiuzwa kwa paund mill 145...hivyo kilichobaki ni paund mil 20..sitarajii usajili wowote wa kuzid hicho kilichobakia...au tupambane na vilivyopo..ni mawazo tuu ya kichaga yamenipeleka huku..
Usajili WA keita na VVD hauhusiani na hela ya Cou ...

Timu nyingi ni vigumu kuuza mchezaji kipindi hiki zaidi hupendelea summer ... hata klopp anakiri tatizo siyo hela.
 
£17m Just for 4 months?

Katika Mzungumzo Yanayoendelea Ya Liverpool na RBL kuhusu Kumchukua Nabby Keita Katika Mwezi huu Wa January Kuna jambo sijaliafiki bado..!

RBL ili wamruhusu NK Kuna Liverpool Katika Mwezi huu Wa January wametaka Ni lazima Liverpool ilipe nyongeza ya £17m...

Nahisi Haina Haja ya Kuongeza Hela Yoyote bora Tusubiri Mpaka Summer aje manake Wameziona Hela alizouziwa Coutinho basi Wanachachawa.

Intact Timu inamatatizo mengi lakini Kwasasa Baada Ya Kusawazisha Beki tatizo Kubwa lililobakia Ni Kipa na si Midfielder.
Then Striker Wa 20+ goals per season.
Kwa Keita lolote laweza tokea naona karudia tena utaratibu wa kugomea mazoezi ya pamoja
 
Coutinho will spend his season playing Alaves and Leganes when he could have helped Liverpool chase Champions League glory
 
Coutinho will spend his season playing Alaves and Leganes when he could have helped Liverpool chase Champions League glory
The last time our biggest player to leave for Spain Clubs tuliwin CL na alikuwa Michael Owen...alilia sana ohh niachieni niende nikabebe makombe then akapishana nalo mlangoni
 
The last time our biggest player to leave for Spain Clubs tuliwin CL na alikuwa Michael Owen...alilia sana ohh niachieni niende nikabebe makombe then akapishana nalo mlangoni
McManaman
Alonso
Mascherano
Suarez

Wote walienda Spain na wameshinda kila kombe kwenye club level (La Liga +Champions League)
 
Wakuu hii mechi ya jumapili na man city inaniwazisha sana cjui tutaweza tetea point maana wale jamaa wako on fire. Naomba Mungu king salah awe amesha recover maana solanke sio wakumuamin kabisa tena hasa kwenye big match
 
Man City juma 2 kwa asilimia 90 lazima akae pale pale ethad
Mbele Nina Salah,mane,firmino
Kama hizo forwad 3 zitaanza Basi ushind upo
 
Wakuu hii mechi ya jumapili na man city inaniwazisha sana cjui tutaweza tetea point maana wale jamaa wako on fire. Naomba Mungu king salah awe amesha recover maana solanke sio wakumuamin kabisa tena hasa kwenye big match

Mo salah yuko vizuri sana mkuu lazima atakuepo
Kwenye mazoezi nimemuona
 
Hapana itakuwa ugenini ethad stadium

IMG_1515757478.132643.jpg
 
Tetesi

Liverpool wameanza mazungumzo na Leicester na winga wa Algeria Riyad Mahrez, lakini mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 anataka kujiunga na Arsenal (Express)
 
Tetesi

Liverpool inawasiliana na klabu ya RB Leipzig huku wakijaribu kumchukua mshambuliaji Naby Keïta kama mrithi wa Philippe Coutinho's aliyehamia Barcelona.
Mpango tayari umeafikiwa kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 kujiunga na klabu hiyo mwezi Julai.(Times)
 
Tetesi

Liverpool iko tayari kumuuza mshambuliaji wao mwenye umri wa miaka 28 Daniel Sturridge, lakini watahitaji £30m ili kumuuza mshambuliaji huyo wa Uingereza. (Liverpool Echo)

Hatahivyo hakuna klabu katika ligi ya Uingereza ilio na uwezo wa kumunua mchezaji huyo mbali na mshahara wake wa £150,000 kwa wiki . (Mail)
 
Tetesi

Manchester United itashindana na Liverpool katika kumwania mchezaji wa Borussia Dortmund na Marekani Christian Pulisic iwapo wapinzani wao watawasilisha ombi la kutaka kumsajili mchezaji huyo ,19, (Independent)
 
Mambo haya Ndiyo asiyoyataka Klopp Kwa Gharama Kubwa Kununua Mchezaji Kwa Mihemko ikisha Akaishia Kuflop.. Halafu anatokea Mtu From Nowhere anadai anunuliwe Mrithi Wa Coutinho ndani Ya January utafikiria Liverpool Ni Chuo cha Mirathi.

Similar Discussions

Back
Top Bottom