Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Team ipi EPL haitafungwa mechi hizi za mwisho?
Tukifungwa sio sawa kuitukana team
Tukishinda mnajaa hapa kuipongeza team
Tabia za ajabu sana hizi za baadhi ya wana Kop
EPL ni ligi ngumu sana,hizo teams zote a juu yetu zitapoteza games zao
Tuendelee kuiandika vizuri team yetu
Ukichukia nakushauri acha kuandika
 
Hehehe mkuu ule ufalme wa mane umeishia wapi? Dah all in all poleni sana
Team ipi imefunga bao nyingi zaidi EPL?
Kutegemea mtu mmoja kama ndiyo main striker wenu ni soka la zamani
Tatizo la Liverpool sio kufunga bali ni beki
 
Poleni humu wakuu, hawa Leicester wamenishangaza sana kumbe kuvurunda kote kule walikuwa na usongo na Babu Ranieri!
Hata mi nashangaa.. Hivi sababu inaweza ikawa nini?
 
Labda babu baada ya kushinda msimu uliopita akajiona yeye ndiyo yeye na kutowapa wacheza wake heshima wanayostahili. Inadaiwa Vardy ndiye aliyekuwa kiongozi wa mapinduzi.

Hata mi nashangaa.. Hivi sababu inaweza ikawa nini?
 
Team ipi EPL haitafungwa mechi hizi za mwisho?
Tukifungwa sio sawa kuitukana team
Tukishinda mnajaa hapa kuipongeza team
Tabia za ajabu sana hizi za baadhi ya wana Kop
EPL ni ligi ngumu sana,hizo teams zote a juu yetu zitapoteza games zao
Tuendelee kuiandika vizuri team yetu
Ukichukia nakushauri acha kuandika
Ulisema hamtafungwa tena hadi ligi inaisha pia ukasema Liverpool ndio mabingwa wa EPL msimu huu
 
71b67cba0c4b25cd43fd4afc08ce3d4e.jpg

87c6c6c442441ce51f2b745b3131416e.jpg
 
Liverpool Mwaka 2017 imecheza jumla ya Michezo 12 (EPL, FA na League Cup).
Katika ya hiyo Michezo 12 tumeshinda 2 tu, na Kumi Hatukushinda...
Magoli tuliyofungwa 16 ni Mengi Kuliko Tuliyofunga 11.
Michezo Tuliyocheza 12 ni mengi Kuliko Magoli Tuliyofunga 11.
Magoli Tuliyofungwa ni Mengi 16 Kuliko Michezo Tuliyocheza 12.
Matokeo yapo hivi:-
↓↓↓
6 defeats
4 draws
2 wins
3 clean sheets
16 goals conceded
11 scored

Simply not good enough.
 
January 31, 2016 tulikuwa na Points 43.....
Leo February 28, 2017 tunajumla ya Points 49...

Yani Ndani Ndani Ya Miezi Miwili Tumevuna Points 6 tu!!!
Hivi Kutoka January 1 mpaka February 28 katika Michezo 7 ya EPL tumevuna Points 6 tu!!!!

This is totally unacceptable! Klopp had disgraced us....
 
After 55 games in charge at LFC:
- Klopp: 95 points
- Rodgers: 97 points

Kumbe Rodgers alikuwa Gineus mbele ya Klopp!!!!
 
Liverpool imeshapoteza Premier League Kwenye Msimu huu wa 2016/17:

1) Leicester
2) Hull
3) Swansea
4) Bournemouth
5) Burnley

Zote Zipo Chini Ya Msimamo (Nafasi Tano Za Mwisho).....
Ni maajabu haya....
 
Liverpool Mwaka 2017 imecheza jumla ya Michezo 12 (EPL, FA na League Cup).
Katika ya hiyo Michezo 12 tumeshinda 2 tu, na Kumi Hatukushinda...
Magoli tuliyofungwa 16 ni Mengi Kuliko Tuliyofunga 11.
Michezo Tuliyocheza 12 ni mengi Kuliko Magoli Tuliyofunga 11.
Magoli Tuliyofungwa ni Mengi 16 Kuliko Michezo Tuliyocheza 12.
Matokeo yapo hivi:-
↓↓↓
6 defeats
4 draws
2 wins
3 clean sheets
16 goals conceded
11 scored

Simply not good enough.
[HASHTAG]#KloppOut[/HASHTAG]
Mediocre team
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom