Mkuu sidhani kama kuna maajabu yatakayotokea kwenye usjili wa dirisha lijalo FSG wabahili sijui kwa transfer hii kama watajitoa akili ya ubahili na kusajili wachezaji wazuri.Hili chama letu limekuwa pasua kichwa sana, tumeshaharibu tangu mwezi uliopita, suala la msingi tujipange tumalize mechi zilizobaki, tuone maajabu ya wenye timu kwenye dirisha la usajili.
YNWA.
Huna jipya, utaendelea kuchapwa tuu na hizo timu maana hakuna namna!!!Kwa sasa HATUFUNGWI tena
Game with Leicester tunampiga
Vijana wamepumzika vya kutosha!
Kocha hamtaki Sakho beki ambaye ana uzoefu na EPL then anamchezesha kiungo Lucas kama CB,kama akishindwa kutengeneza defence atafuata nyayo za Brendan RodgersTatizo ni ujeuri wa klopp
Eti dirisha dogo huez pata wachezaji unaowahitaji shame on him. ..
Haoni ata aibu kutudanganya. ..imani tuloweka kwake ni kubwa ila result yke ni kutuzalilisha
Bahat nzur amekuta tunajua kuongea tu. .wapinzani wanatuheshimu
*wenger new version*
Mkuu King Ngwaba upo?
Hehehehehe nafasi ya sita inawahusu sasa
Mimi ngoja niwaambie tuu wana liverfools ni hivi,Kocha hamtaki Sakho beki ambaye ana uzoefu na EPL then anamchezesha kiungo Lucas kama CB,kama akishindwa kutengeneza defence atafuata nyayo za Brendan Rodgers

nacheka kwa dharaaau!!!!!
ni ushabiki tuu ila ndo ukweliKwa sasa HATUFUNGWI tena
Game with Leicester tunampiga
Vijana wamepumzika vya kutosha!
Hebu tufanye mlinganisho kidogo wa sub.
Liverpool subs
Alexander-arnold,karius,klavan,moreno,origi,stewart na woodburn
Spurs subs
Janssen,sissoko,son,trippier,vorm,wimmer,winks
Man u subs
Blind,carrick,fellaini,rashford,romero,rooney,young
Man city subs
Bravo,delph,ihenacho,navas,nolito,fernando,zabaleta
Arsenal subs
Ospina,elneny,giroud,monreal,gabriel,walcot,welbeck
Chelsea subs
Batshuayi,begovic,willian,loftus cheek,mativ,terry,zouma.
Hivi liverpool are you serious??!! You deserve to be called liverfools![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Unataka ubingwa hata subs za maana hauna, kaondoka mane amerudi timu imeshapoteana kinomaa haijui hata inataka nini tena!!
Bora basi first 11 ingekua tishio lakini nayo waapiii!!!! Jamani jipangeni upya ndo mrudi kuwa timu kubwa ila kwa sasa ni kokoro
![]()
![]()
![]()
nacheka kwa dharaaau!!!!!
![]()
ni ushabiki tuu ila ndo ukweli
Nafasi ya 6 Kasema nani? Hapo ni sawa na uliyetupa Ubingwa!!! Nafasi yetu ya 8 tuliyoizowea ndiyo inayotuhusu... Coz kuna ving'aninizi Kina STOKE, PALACE, WBA, BURNLEY, WATFORD, WEST HAM and the likes! Lazima Hapo Tuche points za watu tu....
Hahahaha, futa basi ile kauli yako kabla ya mwezi mayMkuu Nipo....
Nafasi ya 6 Kasema nani? Hapo ni sawa na uliyetupa Ubingwa!!! Nafasi yetu ya 8 tuliyoizowea ndiyo inayotuhusu... Coz kuna ving'aninizi Kina STOKE, PALACE, WBA, BURNLEY, WATFORD, WEST HAM and the likes! Lazima Hapo Tuche points za watu tu....
Hehehe mkuu ule ufalme wa mane umeishia wapi? Dah all in all poleni sanaMan U wana Ibrahimovich...
Chelsea wana Diego Costa...
Man City Wana Aguero/Jesus
Spurs wana Hanry Kane
Liverpool wana ???????
Halafu hapo eti unamkutia mtu anawaza top 4, Sorry! Anawaza nafasi ya 6!!!!
Tuweni Wa Kweli Hapo hata ya 6 itatushinda na tunadondokea ya 8....…
Hakuna Timu iliyowahi kuchukua ubingwa bila ya World Class Striker...
Hata Lesta last season Vardy alikuwa Katika Kiwango cha World Class na ndiyomaana Aliweza Kuscore Game Muhimu Sana Na Kupata Ubingwa....
Kwa Striker Hawa Firmino, Origi na Sturidge mimi wala sijipi tabu ya Kuota Top 4....
najua liver haina history ya kumfunga Arsenal aahahaha ...labda mjikaze mpate droo; timu mbovu sanaa