Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Liverpool Alichukua FA, LEAGUE CUP, EUROPER CUP, CHAMPION LEAGUE, EUROPER SUPER CUP na Mukamcheka na Kumwita LOSER kwa Sababu Hakuchukua PREMIERE LEAGUE....... Lakini Nashangaa Na Nyinyi sasa Munaanza Kujifariji Kwa LEAGUE CUP ambayo Alipochukua Liverpool mulimcheka na Kusema amebeba Kombe la Mbuzi!!!!!!
"Hile maana ya "TIME WILL TELL" sasa inaanza kuthibitika wenyewe... Yaani sasa mumefikia Kujiproud na League Cup badala ya Premier League muliyoizoea?????????
