Markovic anatakiwa apewe nafasi au Moreno achezeshwe kama LW...
It seems he tries too much to be raheem rather than being himself. Na akiendelea na upuuzi huo itamgharimu
Sitoshangaa kama BR ataendelea kumpa nafasi na kummbania marko sababu I can see he is got faith on him.Na kuna wakati BR anapenda kutuzingua anapotwisha majukumu on young lads...Ile sub ya Rossiter na Lucas kwangu haikukaa poa kabisa