Wadau naona mmeipotezea thread
Tunasubiria tar 12 tuone kama ni kweli tunaelekea kwenye mediocrity
Rodgers needs to be sacked kabla hajaua team kabisa..how can you start Lovren katika game kubwa kama hii???
Jana nmeona Tim sherwood anashangaa LFC kumpa option ya kumnunua Ilori..mtu kama kolo toure sijui anafanya nini kwenye team,
Tim sherwood ameshangaa hata yeye ndo maana akaiita no brainer option na illori akifanya vizuri anatoa mzigo, kuna taarifa nimeziona kuwa markovic loan deal imekufa baada ya kuumia ligament amerudi amerudi melwood anauguza jeraha tuRodgers needs to be sacked kabla hajaua team kabisa..how can you start Lovren katika game kubwa kama hii???