Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jay Riley #ITK , saying Rickie Lambert is having medical tests at West brom muda huu.
 
Feel for MB, Borini and Enrique, yaan manager unawaambia wachezaji wako watrain peke yao kisa huwatak kwenye team na unawaforce kuondoka, huwez kuyaona haya mambo kwa kina Klopp, Diego, AVB, Martinez, unai etc ambao ni makocha vijana pia..

BR kaniudhi kweli, LFC haiendeshwi hivyo. Tulilalamika sana sana jinsi Raheem alivyotutendea kabla ya kuondoka mie naona ni kama tuliatahili kwa jinsi BR anavyowafanyia akina Mario
 
Kilicho nifurahisha BR anamwambia Balloteli ni choice after kina Ojo
 
Kuna taarifa kwamba Liverpool will be going to Fin, bila Ben na Firmino..hii imekaaje?
 
Kuna taarifa kwamba Liverpool will be going to Fin, bila Ben na Firmino..hii imekaaje?

Kuna game ni swindon FC j2, hata Sakho hajaenda fin, nadhan ndo watacheza kwenye hiyo game ya J2..
 
BR kaniudhi kweli, LFC haiendeshwi hivyo. Tulilalamika sana sana jinsi Raheem alivyotutendea kabla ya kuondoka mie naona ni kama tuliatahili kwa jinsi BR anavyowafanyia akina Mario

BR ana ego ya kijinga sana, anayofanyiwa Balotelli washafanyiwa kina Agger, Carol, Downing, Aquilan, Lucas, Reina, Martin Kelly, Manquilo, suso na captain wetu Henderson, kama unakumbuka alitaka kumuuza Henderson Fulham, ilikuwa ni deal ya Cash + player, ambapo mchezaj alikuwa ni henderson na hela kidogo ili kumpata Clint dempsey, but now Henderson ndo Captain..Martin kelly alipopona majeruhi yake, ikawa vigumu sana kwake kupata number tukiambiwa kuwa ni injury prone, but kaenda Crystal palace kacheza games zaid ya 30 msimu uliopita..:
ImageUploadedByJamiiForums1438356571.347923.jpg
 
Pearce and Rodgers ni disgrace pale LFC, the way these 2 cunts are treating Balotelli inaumiza sana, and Oooh, na sisi fans tumeitwa "deluded" na pearce, And unakumbuka when this cunt slated the LFC fans living outside UK??, it seems sahiv lengo lao kubwa ni kumchafua Balotelli ili fans wamchukie, we're really turning into a Mid-table team..
ImageUploadedByJamiiForums1438429023.495656.jpg
 
Siyo kwamba kwingine huko makocha hawafanyi wachezaji wao mabaya la hasha wanawafanyia kwa nn tuige mabaya kutoka kwa josee mourinho au lvg wachezaji kibao wanamlalamikia luca toni rivardo valdez van pirse etc

Kwa nn tusiige mazuri anayofanya wenger kwa jinsi anavyowahandle wachezaji wake mfano diaby kacheza dk 90 ktk miaka mitatu na wala hajamtenga na wachezaji wenzie siyo yy wapo wengi tu kawavumilia

Pia br si msafi anafuata nyayo za kina lvg

Nuri sahini kamwongelea vibaya

Agger pia kamwongelea vibaya

Downing pia kamwongelea vibaya

Ballo kamhandle vibaya lzm tu atamwongelea vibaya

Borin sidhan kama atamwongelea vibaya baba yake kwanza kambeba kucheza team kubwa

Enirique lzm atamwongelea vby

Pia watu wanamwongelea br kwa sababu ndio kocha wetu wa team yetu pendwa

Ina haja gani ya kumwongelea guarduola wa buyern muchen yy anaongelewa na wakeleketwa wa hiyo team

Au lvg wanamwongelea mafan wa hiyo team

Pia kuwa mbabe ila mwisho wa siki upate ndoo na mafanikio siyo kuwa mbambe mwisho wa siku huna mafanikio

Makocha wote wababe wanamafanikio lvg fagie josee guardiola
Simon etc
 
Feel for MB, Borini and Enrique, yaan manager unawaambia wachezaji wako watrain peke yao kisa huwatak kwenye team na unawaforce kuondoka, huwez kuyaona haya mambo kwa kina Klopp, Diego, AVB, Martinez, unai etc ambao ni makocha vijana pia..

hayo makapi aliyeleta yeye mwenyewe BR.....so let him clean the sh!t of his own sh!tting....
 
HJK Helsinki vs Liverpool

Line up for liverpool, Mig, Lovren,Skrtel,Gomez, clyne,milner,henderson,lallana, ibe ,countinho Ings

The game has just started, kwa wale wa kustream pitia hapa kuna LFCTV, www.gofeed2all.eu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom