Firmino last season vs Firmino this season
eff1d086d319394aa69b6821e819f568.jpg
:D:D:D:D:D:D
 
Sikujua kama imani yangu ni finite.

Timu ukitaka kuifurahia basi uishabikie ukiwa library au museum.

Hata kwenye fan's pages utasikia today ten years ago we defeated fulani, yaani wanajivunia historia tu.
Nadhani kilicho cha maana ni jina na nembo ya club, vilivyosalia ni useless.

Kuna swali alilowahi kuuliza Mr.Ebbo ambalo nafikiri jibu lake lipo pale Anfield.

Huenda LFC ilikuwa timu ya ki socialism maana socialism ilikufa 1990.
 
Liverpool Alichukua FA, LEAGUE CUP, EUROPER CUP, CHAMPION LEAGUE, EUROPER SUPER CUP na Mukamcheka na Kumwita LOSER kwa Sababu Hakuchukua PREMIERE LEAGUE....... Lakini Nashangaa Na Nyinyi sasa Munaanza Kujifariji Kwa LEAGUE CUP ambayo Alipochukua Liverpool mulimcheka na Kusema amebeba Kombe la Mbuzi!!!!!!
"Hile maana ya "TIME WILL TELL" sasa inaanza kuthibitika wenyewe... Yaani sasa mumefikia Kujiproud na League Cup badala ya Premier League muliyoizoea?????????
Kweli Time Will Tell i support you My friend nawachukia Hawa Wanaojiproud na League cup
 
Back
Top Bottom