Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jaman coutinho leo ana anguka anguka tu
Wakati ndidi yuko on fire

You picked a wrong day to meet with these guys
 
hatuna mchezaji wa kupiga shuti nje ya 18....mediocre bunch.

Cou naye tangu asifiwe amekuwa nyanya kabisa.

hawa wachezaji nyambaf kabisa!
 
kuna matatu
1. Hatuna wachezaji
2. Hatuna kocha au
3. Hatuna kocha na wachezaji
mkuu mimi naona kocha yupo isipokuwa hatuna wachezaji.

kosa la kocha ni kujiamini kudhani mbinu zake pekee bila wachezaji wanaostahiki zingemuwezesha kung'ara EPL.

nadhani tumpe window moja zaidi ya usajili... atakuwa ameshajifunza kuwa huwezi kwenda popote EPL ukiwa na magarasa kama haya.
 
Ila Leicester msimu huu Sio wa kuaminika man, usije kuta wametuachia shuka

Yeap...!hawana consistency kabisa ndio maana nikasema "wanaweza kukufuka" unakuja kuona FT kapigwa nyingi ila wakiachwa wa-relax wanapata matokeo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom